Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mwenye hiyo video tafadhali naomba niione.Nitumie hata PM

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Upo sahihi sana.
Oooooh My god!! amechana heshima yake na amechana karatasi yenye maandishiya Qurani...Hyo ni Provocation isiyo na tija !! QURAAN ipo ndani ya mioyo ya Waumini na haitoweza kunyakuliwa au kuchanwa !! Tunapo hifadhi Quraan tunaiweka kifuani na kuitumikia.....Waisalm tuwe wavumilivu na tuondoe jazba !!
Uhuni huu wa uchokozi haukuanza leo.... walishindwa wengi miaka 1441 iliyopita
Tumemsamehe aalipwa na mwenye msahafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiona hiyo video, kiuhalisia yule Jamaa kama dish limeyumba vile , kwa hivyo ni sawa kusimashwa kazi , sion Kama ni sawa serekali kua na watumishi machizi na pia kwa hatua hiyo serekali iliyomchukulia itapunguza jazba kwa waislam.

Haya mambo ya kiimani sio mazuri hua yanaleta machafuko kwa hiyo huyo Jamaa kakosea Sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
 
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Kwa usalama wake bora wamuhamishe huko aliko na tusijue yupo wapi.watu kama hawa wanapaswa kushughulikiwa kwa kunyongwa
 
Back
Top Bottom