Kukanyagana huwa kuna watu kila mwaka wanauana kwa kukanyagana wakimpiga mawe shetani nadhani Hawa ndio mang'ombe zaidi ya wale wamama wa moshiWakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ainuke ampige mwenyewe. Mwanadamu hawezi tenda haki hata siku moja.Kwahiyo mnavyosema Mungu kujitetea mnakusudia kulinda haki yake au status yake,sasa kuchanwa kwa karatasi yenye maandishi ya Qur'an je ni haki gani au status ambayo unaona Mungu wa waislamu ameshindwa kuilinda?
Waislam na dini yao huwa wanashangaza
Kuna mitahira ya kiislam eti inadai jamaa alipaswa ashushiwe jambia kichwani au auawe
Kisa maandishi ya waarabu waliokufa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini sasa amesimamishwa kazi?Kazini yuko salama hajavunja kifungu chochote, ila kama mtanzania, amevinja kifungu kwa kuhatarisha amani ya nchi, ambayo ni mbaya zaidi afadhali angeviunja kifungu cha kazi
Kwa sababu ya chuki za kidini walizonazo na wala hata haimstui mtu hata wakichoma millions of millions ya hizo bendera.Kwanini zinachomwa unavyodhani ?
Yule alichana biblia?,Kitabu anachofuata ndicho kinachombia Yesu si mungu,Je huyu jamaa mafundisho ya kuchana ameyapata huko katika biblia?....Yule wa Morogoro aliyesema Yesu si Mungu mahakama ilimwachia huru. Nadhani na huyu naye itakuwa ivo ivo!!
Hao masheikh ubwabwa lazima wapige kelele maana ndiyo wenye kutumia hicho kitabu kinawahusu,na nimekwambia kwenye hicho kitabu hakisemi tu Qur'an ndiyo ya Mungu bali kumeeleza vingi tu kuwa ni vya Mungu.Mwenye Quran yake katulia tuliiii ilipochanwa , wewe sheikh ubwabwa kelele za nini ?
Nitolee mfano mmoja unayoujua wewe ambapo Mungu alitenda mwenyewe yeye kama yeye.Ainuke ampige mwenyewe. Mwanadamu hawezi tenda haki hata siku moja.
Nipe mfano ambao Mungu aliwahi kutenda mwenyewe.Ainuke ampige mwenyewe. Mwanadamu hawezi tenda haki hata siku moja.
Nani kalinganisha mkuu mie nazungumzia kinachotokea kwenye maisha halisi huku ambako watu wenye elimu wanapuliziwa dawa ya mbu makanisani,wananyweshwa Jik,wanauziwa chupi zenye picha ya manabii,wanagombea kukanyaga mafuta hadi kusababisha vifo.Huwezi jilinganisha kielimu kati ya Waislam na wakristo Duniani utachekwa. Waislamu wanakurupuka ona waziri mzima anakurupuka hajui job description hata wewe mwenyewe umekurupuka ndio maana ulichojibu sikishangai ni kwasababu ya dini yako ilivyokufunza.
Mfano wa elimu linganisha tu shule za kikristo na kiislamu zipi zinafaulisha.
Pia jilinganishe tu hata wewe ulivyo unadhani una akili sawasawa?.
Nachoelewa mimi serikali haifungamani na imani yeyote. Kubali tu waziri amechemka
Fikiria tena kama kuna uhusiano !?
Acha kuropokwa, hv huko mashuleni mlienda somea ujinga?
Nani kalinganisha mkuu mie nazungumzia kinachotokea kwenye maisha halisi huku ambako watu wenye elimu wanapuliziwa dawa ya mbu makanisani,wananyweshwa Jik,wanauziwa chupi zenye picha ya manabii,wanagombea kukanyaga mafuta hadi kusababisha vifo.
Kuna vitu hata waislamu ambao ndio hawana elimu ila huwezi kuwaburuza kiasi hicho.
Hata haueleweki mara mashoga wengi waislamu mara uislamu ni dini ya kishirikina,mimi sipo hapa kwa ajiri ya kashfa za dini. Mie naeleza kitu ambacho ni cha kweli kipo wazi kila mtu anaona na si kashfa au kuongelea vibaya ukristo hata wakristo wenyewe huyaongelea.Kuna mambo mengi katika imani ya kiislamu yanafanyika hatusemi tu.
Alafu nahisi unayajua sana. Kasome suratul 2:229-231 inayoruhusu wanawake kuingiliwa nyuma. Hayo yanafanyika sana kuanzia kwenye madrasa. Ndio maana mashoga wengi sana ni waislam. Lakini uislamu ni dini ya kishirikina angalia waganga wa kienyeji wanapotangaza wanaweka kitabu hicho chenu
Ukishafanya jinai yoyote na ukawa uko liable kushtakiwa, lazima usimame kazi. Kinachomsimamisha kazi ni kosa la jinai alilofanya, lakini kazini hana hatia, yaani hajafanya kosa ofisini. Kigumu kueleweka katika maelezo haya yote ni nini?Kwanini sasa amesimamishwa kazi?
Mwenye kitabu chake katulia wewe mtumiaji kelele za nini ? QURAN inajisemea yenyewe kuwa ni ya Mungu , hivyo vyengine unavisemea weweHao masheikh ubwabwa lazima wapige kelele maana ndiyo wenye kutumia hicho kitabu kinawahusu,na nimekwambia kwenye hicho kitabu hakisemi tu Qur'an ndiyo ya Mungu bali kumeeleza vingi tu kuwa ni vya Mungu.
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.Mwenye kitabu chake katulia wewe mtumiaji kelele za nini ? QURAN inajisemea yenyewe kuwa ni ya Mungu , hivyo vyengine unavisemea wewe
Kama QURAN ni ya Mungu ilipochanwa kachukua hatua gani ? iweje mpambe awe na nguvu kuliko mwenye mali ?Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.
Kwa nini wamemuacha wasingempiga jambia moja la kichwa.