fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Kukanyagana huwa kuna watu kila mwaka wanauana kwa kukanyagana wakimpiga mawe shetani nadhani Hawa ndio mang'ombe zaidi ya wale wamama wa moshiWakristo akili zenu zinawatosha wenyewe. Mnakanyagana na kuuana kama ng'ombe kisa mafuta. Kufungwa huyu aliechana Qur'an imewauma zaidi kuliko yule alisababisha vifo vya watu kuachiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app