Mwenye kitabu chake katulia wewe mtumiaji kelele za nini ? QURAN inajisemea yenyewe kuwa ni ya Mungu , hivyo vyengine unavisemea wewe
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.
Kuna watu ni matahira sana Karatasi unayoweza kuichapisha ata chumbani kwako umuue mwenzako kisa kachana !!!

Hata haueleweki mara mashoga wengi waislamu mara uislamu ni dini ya kishirikina,mimi sipo hapa kwa ajiri ya kashfa za dini. Mie naeleza kitu ambacho ni cha kweli kipo wazi kila mtu anaona na si kashfa au kuongelea vibaya ukristo hata wakristo wenyewe huyaongelea.
Ahahahaha jangwa la sahara watachelewa kufa hawa wanapaswa watupwe baharini wafe kwa baridiMajitu kama hayo yanatakiwa yakaishi katika majangwa ya Sahara yakafie huko na jua kali maana hayana faida ktk jamii [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si angechoma biblia
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.
Hata haueleweki mara mashoga wengi waislamu mara uislamu ni dini ya kishirikina,mimi sipo hapa kwa ajiri ya kashfa za dini. Mie naeleza kitu ambacho ni cha kweli kipo wazi kila mtu anaona na si kashfa au kuongelea vibaya ukristo hata wakristo wenyewe huyaongelea.
Qur'an ni yale maneno hivyo kilichochanwa ni zile karatasi zenye hayo maneno, na hayo maneno(Qur'an) kuwa kwenye hizo karatasi ni kazi ya waislamu mwenye. Nafikiri ungekuwa na hoja mkuu kama ishu ingekuwa ni kuiharibu Qur'an hapo ndipo hoja yako ingekuwa na mashiko maana mwenyewe Mungu ameeleza kuwa atailinda Qur'an.Kama QURAN ni ya Mungu ilipochanwa kachukua hatua gani ? iweje mpambe awe na nguvu kuliko mwenye mali ?
Wewe huyo Allah unamjua alivyo ili hata akiletwa uweze kutambua kuwa ndiye yeye na si mwengine?Hoja Quran siyo ya Mungu. Nipe ushahidi alisema nani, aliandika nani na ilichapishwa na nani. Pia, mlete Allah kutoa ushahidi kwenye BBC kwamba maneno yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe kwenye magome au makaratasi itabaki kuwa QURAN ya Mungu , swali ilipochanwa huyo Mungu kachukua hatua gani ? maana wapambe mnalia sana kuliko mwenye maliQur'an ni yale maneno hivyo kilichochanwa ni zile karatasi zenye hayo maneno, na hayo maneno(Qur'an) kuwa kwenye hizo karatasi ni kazi ya waislamu mwenye. Nafikiri ungekuwa na hoja mkuu kama ishu ingekuwa ni kuiharibu Qur'an hapo ndipo hoja yako ingekuwa na mashiko maana mwenyewe Mungu ameeleza kuwa atailinda Qur'an.
Sasa kama kuna sura ya ushoga basi tungeona ndoa za jinsia moja misikitini kama tunavyoona ndoa za jinsia moja makanisani.Kasome sura ya ushoga na walatigo suratul 2:229-231. Wacha kelele kelele hapa [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichochanwa ni karatasi mkuu.Iwe kwenye magome au makaratasi itabaki kuwa QURAN ya Mungu , swali ilipochanwa huyo Mungu kachukua hatua gani ? maana wapambe mnalia sana kuliko mwenye maliw
Kumbe sio QURAN ?Kilichochanwa ni karatasi mkuu.
Qur'an ni maneno sasa unachana vp?Kumbe sio QURAN ?
Muandika thread katupotosha , kumbe ni karatasi ndio imechanwa yeye anasema QURAN, wapuuzi polisi wanamkamataje mtu kwa kuchana kakaratasi kakufungia maandazi !!!Qur'an ni maneno sasa unachana vp?
Kwani Qur'an ni nini mkuu? Maana isije ikawa tunabishana kumbe hiyo Qur'an yenyewe hata hujui ni kitu gani.Muandika thread katupotosha , kumbe ni karatasi ndio imechanwa yeye anasema QURAN, wapuuzi polisi wanamkamataje mtu kwa kuchana kakaratasi kakufungia maandazi !!!