Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Nani kakwambia ni ya Mungu wakati makaratasi yamechapishwa?
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona sema huelewi sababu umekaririshwa na ilmu ya madras..[emoji23]
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome sura ya ushoga na walatigo suratul 2:229-231. Wacha kelele kelele hapa [emoji1][emoji1]
Hata haueleweki mara mashoga wengi waislamu mara uislamu ni dini ya kishirikina,mimi sipo hapa kwa ajiri ya kashfa za dini. Mie naeleza kitu ambacho ni cha kweli kipo wazi kila mtu anaona na si kashfa au kuongelea vibaya ukristo hata wakristo wenyewe huyaongelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja Quran siyo ya Mungu. Nipe ushahidi alisema nani, aliandika nani na ilichapishwa na nani. Pia, mlete Allah kutoa ushahidi kwenye BBC kwamba maneno yake.
Unajua hata sioni point yako iko wapi maana hakuna nilipobisha kuwa Qur'an ni ya Mungu,sasa kama utaniambia hatutakiwi kuipigia kelele basi hoja hiyo itumike kwa vitu vyengine tunavyotumia ambavyo hiyohiyo inasema Mungu kaviumba navyo tusivipigie kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata haueleweki mara mashoga wengi waislamu mara uislamu ni dini ya kishirikina,mimi sipo hapa kwa ajiri ya kashfa za dini. Mie naeleza kitu ambacho ni cha kweli kipo wazi kila mtu anaona na si kashfa au kuongelea vibaya ukristo hata wakristo wenyewe huyaongelea.

Imeingia hiyo.
 
Kama QURAN ni ya Mungu ilipochanwa kachukua hatua gani ? iweje mpambe awe na nguvu kuliko mwenye mali ?
Qur'an ni yale maneno hivyo kilichochanwa ni zile karatasi zenye hayo maneno, na hayo maneno(Qur'an) kuwa kwenye hizo karatasi ni kazi ya waislamu mwenye. Nafikiri ungekuwa na hoja mkuu kama ishu ingekuwa ni kuiharibu Qur'an hapo ndipo hoja yako ingekuwa na mashiko maana mwenyewe Mungu ameeleza kuwa atailinda Qur'an.
 
Iwe kwenye magome au makaratasi itabaki kuwa QURAN ya Mungu , swali ilipochanwa huyo Mungu kachukua hatua gani ? maana wapambe mnalia sana kuliko mwenye mali
 
Qur'an ni maneno sasa unachana vp?
Muandika thread katupotosha , kumbe ni karatasi ndio imechanwa yeye anasema QURAN, wapuuzi polisi wanamkamataje mtu kwa kuchana kakaratasi kakufungia maandazi !!!
 
Screenshot_20200211-124937.jpeg

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Muandika thread katupotosha , kumbe ni karatasi ndio imechanwa yeye anasema QURAN, wapuuzi polisi wanamkamataje mtu kwa kuchana kakaratasi kakufungia maandazi !!!
Kwani Qur'an ni nini mkuu? Maana isije ikawa tunabishana kumbe hiyo Qur'an yenyewe hata hujui ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom