Wewe huyo Allah unamjua alivyo ili hata akiletwa uweze kutambua kuwa ndiye yeye na si mwengine?
Sasa kama kuna sura ya ushoga basi tungeona ndoa za jinsia moja misikitini kama tunavyoona ndoa za jinsia moja makanisani.
Qur'an ni maneno sasa unachana vp?
Mmeshamuadhibu na mnaendelea kumuadhibu;Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.
Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Mkuu.Wewe mbona kichwa chako kigumu kama waarabu? Quran ni maneno yameandikwa kwenye karatasi. Mchwa au mende akila karatasi mtawapiga mabomu au kuwachinja? Kwa akili zenu hata mende akinyia Quran mtaandamana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.
Kuchana na kuliwa na mende ni mambo tofauti.
Mmeshamuadhibu na mnaendelea kumuadhibu;
Muombeni Mungu wa kweli awape hekima ya kudhighulikia jambo hili
Nenda kamsaidie keshafukuzwa kazi na magufuli leoHana tatizo na biblia, tatizo lake ni juzuu ya amma yatasahhaluna[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo umetaka aje kutoa ushahidi sasa wewe ndiyo unatakiwa kumjua.Wewe ndiyo unamjua pamoja na Muddy aliyekwenda kumuona mbingu ya saba, kuomba apunguziwe sala zisizidi 5.[emoji1] Walete wote, watambulishe na watueleze kama walichokisema kwenye Quran ni kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndoa za mashoga tunaziona makanisani na sio msikitini?
Ni kama pesa ambayo kiasili ni karatasi tu ila ni karatasi tulizozipa thamani kiasi kwamba ukizichana ni kosa ila panya huzitafuna na hawakamatwi.Wewe mbona kichwa chako kigumu kama waarabu? Quran ni maneno yameandikwa kwenye karatasi. Mchwa au mende akila karatasi mtawapiga mabomu au kuwachinja? Kwa akili zenu hata mende akinyia Quran mtaandamana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza mimi tena !! Umesema yule kachana karatasi sio QURAN , hili nimelichukua sasa unaanza kuniuliza maswali mengine ambayo hayapoKwani Qur'an ni nini mkuu? Maana isije ikawa tunabishana kumbe hiyo Qur'an yenyewe hata hujui ni kitu gani.
Kama umenielewa sawa.Unaniuliza mimi tena !! Umesema yule kachana karatasi sio QURAN , hili nimelichukua sasa unaanza kuniuliza maswali mengine ambayo hayapo
nimekuelewa vizuri ndio maana nashangaa mambo yanakuwa mengiKama umenielewa sawa.
Ni kama pesa ambayo kiasili ni karatasi tu ila ni karatasi tulizozipa thamani kiasi kwamba ukizichana ni kosa ila panya huzitafuna na hawakamatwi.
Mbona ndoa za mashoga tunaziona makanisani na sio msikitini?
Wewe ndiyo umetaka aje kutoa ushahidi sasa wewe ndiyo unatakiwa kumjua.
Nenda kamsaidie keshafukuzwa kazi na magufuli leo