Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Wewe ndiyo unamjua pamoja na Muddy aliyekwenda kumuona mbingu ya saba, kuomba apunguziwe sala zisizidi 5.[emoji1] Walete wote, watambulishe na watueleze kama walichokisema kwenye Quran ni kweli!
Wewe huyo Allah unamjua alivyo ili hata akiletwa uweze kutambua kuwa ndiye yeye na si mwengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana bahati sana hajauawa na waumini wa Kiislam, sifa nyingine za kijinga zinaponza sasa angalia anasimamishwa kazi.

Hii aione bibi yangu kipenzi FaizaFoxy
Mmeshamuadhibu na mnaendelea kumuadhibu;

Muombeni Mungu wa kweli awape hekima ya kudhighulikia jambo hili
 
Wewe mbona kichwa chako kigumu kama waarabu? Quran ni maneno yameandikwa kwenye karatasi. Mchwa au mende akila karatasi mtawapiga mabomu au kuwachinja? Kwa akili zenu hata mende akinyia Quran mtaandamana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.

Kuchana na kuliwa na mende ni mambo tofauti.
 
Hekima watoe wapi hawa! Wao wanataka auwawe, hawataki sheria. Hovyo sana hii imani! Dini yenyewe ilienezwa kwa nguvu, kutumikisha watumwa, kuoa vitoto vya kike na upanga. Kitu gani cha ajabu kitafanyika kuibadilisha dini kuonekana ya maana? Hakuna mpya.
Mmeshamuadhibu na mnaendelea kumuadhibu;

Muombeni Mungu wa kweli awape hekima ya kudhighulikia jambo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo unamjua pamoja na Muddy aliyekwenda kumuona mbingu ya saba, kuomba apunguziwe sala zisizidi 5.[emoji1] Walete wote, watambulishe na watueleze kama walichokisema kwenye Quran ni kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo umetaka aje kutoa ushahidi sasa wewe ndiyo unatakiwa kumjua.
 
Wewe mbona kichwa chako kigumu kama waarabu? Quran ni maneno yameandikwa kwenye karatasi. Mchwa au mende akila karatasi mtawapiga mabomu au kuwachinja? Kwa akili zenu hata mende akinyia Quran mtaandamana[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama pesa ambayo kiasili ni karatasi tu ila ni karatasi tulizozipa thamani kiasi kwamba ukizichana ni kosa ila panya huzitafuna na hawakamatwi.
 
Kwani Qur'an ni nini mkuu? Maana isije ikawa tunabishana kumbe hiyo Qur'an yenyewe hata hujui ni kitu gani.
Unaniuliza mimi tena !! Umesema yule kachana karatasi sio QURAN , hili nimelichukua sasa unaanza kuniuliza maswali mengine ambayo hayapo
 
Wote tunajua pesa ni karatasi na ina thamani! Quran ina thamani kwetu au kwako? Kwetu sisi ni karatasi za maneno yakiarabu, kwisha! Kaka Quran haina thamani yeyote kwa wasio waislamu! Tunawaeshimu tu, sema dini yenu na nyinyi makatili wahed!
Ni kama pesa ambayo kiasili ni karatasi tu ila ni karatasi tulizozipa thamani kiasi kwamba ukizichana ni kosa ila panya huzitafuna na hawakamatwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona ujinga wenu? Kufukuzwa Kwake ni lazima na Magu alifanya vema. Kosa alilolifanya ni kuchana kitabu cha mtu mwingine, siyo kuchana Quran! Nyiye mnaokariri hamuelewi kutokana na ilimu ya madrasa. Hakuna kosa kuchana karatasi, ila kosa ni kuchana karatasi za mmiliki mwingine.
Nenda kamsaidie keshafukuzwa kazi na magufuli leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom