Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Watanzania tujifunze kuchangia mada bila kutumia mihemko wala jazba. Endapo tukikuta kuna utata sehemu basi tusiwe watu wa kumsemea muhusika na badala yake tuchangie kwa busara.

Sheria za Tanzania ziko wazi dhidi ya mtu yeyote anaefanya kitendo cha kufedhehesha au kuharibu mali/ kufedhehesha au kuchafua imani za wengine. Hivyo ni bora kuangalia sheria za nchi zinasemaje na sio kupayuka tu, mwisho wa siku unachangia ujinga na kujiona shujaa kumbe unajidharaulisha kwa kuchangia pumba.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ
[emoji377]
 
ziloi,
Mkuu tatizo watu wa dini sio wote linapokuja swala kama hili utanguliza ushabiki kuliko uhalisia.
 
Kichaa anacho mamako. Nakuambia unitajie kifungu cha sheria za kazi kilichovunjwa unatukana? Mbwa koko wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
msihangaike nae huyu mtu wamwachie hata leo mtaani tutamuhukum haki yake iliyo sahihi kuliko hao polisi.machafuko yanaweza kuanza kidogo ndani ya nchi kama tabia kama hizi zikiachwa bila kuchukuliwa hatua
 
Kama ni ile video nilobahatika kuiyona Akichana huku anatemea mate na kukanyaga basi huyo bwana anahaki ya kuwekwa ndani kwanza kwa usalama wake pia na kuwapa ahueni waislam kuona mwenye kosa kapewa Adhabu. kwakweli Hata kama umkristo au huna Mambo ya dini kama mimi ule ujinga huezi ku u support kabisa..
Tuacheni ushabiki tueshimu imani za watu huyo alizidisha mihemko yake ya kupenda ukristo wake hadi kuamua ujinga alofanya..
Anabahati yuko Tz maana angekuwepo huko kwa wenzetu ingetangazwa kesho anachinjwacha dharani
Hahaha anaeza tokea mwarabu mmoja Aseme atakae pata kichwa chake ana $1,000,000
 
Kama kakosea mbona wale waliotamka mwenzao auwawe hawakamatwi na kufichwa mahabusu kwakukosa maadili dhidi ya binadamu mwenzao.
 
ilikuwa haina haja kunfunga .ila kumuelimisha .hata vitabu vyote vya quraan ukivichana bado imehifadhiwa kwenye vifua bus waumini. Alhamdulillah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilikuwa haina haja kunfunga .ila kumuelimisha .hata vitabu vyote vya quraan ukivichana bado imehifadhiwa kwenye vifua bus waumini. Alhamdulillah

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Swala la kuwekwa ndani ni kwa ajili ya usalama wake.
2. Sheria za nchi hazikubaliani na kitendo alichokifanya.

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…