Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Watanzania tujifunze kuchangia mada bila kutumia mihemko wala jazba. Endapo tukikuta kuna utata sehemu basi tusiwe watu wa kumsemea muhusika na badala yake tuchangie kwa busara.
Sheria za Tanzania ziko wazi dhidi ya mtu yeyote anaefanya kitendo cha kufedhehesha au kuharibu mali/ kufedhehesha au kuchafua imani za wengine. Hivyo ni bora kuangalia sheria za nchi zinasemaje na sio kupayuka tu, mwisho wa siku unachangia ujinga na kujiona shujaa kumbe unajidharaulisha kwa kuchangia pumba.
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]