johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu Jafo analeta udini aache sheria ichukue mkondo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keyboard warriorNaapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
Wamemuomea sana. Ashtakiwe kuhujumu uchumi sasaWamemsimamisha kazi kwa sababu za kijinga sana.
Hilo nalo ni kosa?
Mheshimiwa upo?Hii ni mihemko isiyokuwa na maana ktk utumishi wa umma. Amemsimamisha kazi kwa kutumia kifungu kipi cha sheria za kazi? Kuna mahali pameandikwa kuwa mtumishi wa umma akichana kohorani asimamishwe kazi? Aache hizo. Analogia Malenga,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala isingekuwa issue. Biblia zipo nyingi na zinaendelea kuchapishwa, ukristu uko pale pale.Si angechoma biblia
Uliza China kilichowakuta
Huyo mtumishi amevunja kifungu kipi cha sheria za kazi? Unaweza kututajia hicho kifungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamangu anaingia wapi sasa hapaKichaa anacho mamako. Nakuambia unitajie kifungu cha sheria za kazi kilichovunjwa unatukana? Mbwa koko wewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini inaruhusu kuua?Kwa usalama wake bora wamuhamishe huko aliko na tusijue yupo wapi.watu kama hawa wanapaswa kushughulikiwa kwa kunyongwa
Jafo au polisi bwashee?!Angechoma biblia nacho si kitabu kitakatifu.huu ni uchokozi wa dhahiri kutaka kuleta machafuko ya kidini.jafo weka ndani huyo fala.
Hiyo quran aliichania kwenye eneo la kazi kiasi huyo waziri aingilie kati au kafanya hivyo kisa ni muislamu?
Huyu bwana mdogo huenda akili hazipo sawa. Mie nashauri apimwe akili maana kwa usomi wake, mtumishi wa umma na eneo alilopo kuna walakini katika kichwa chake. Kajiaibisha yeye na wengine wanaomzunguka
Sirikali si haina dini.
#Bagwell
Serikali haina dini ila wananchi wana dini.Kwanini iwe sahivi wakati Serikali haina dini?? Na kuchana kwake hicho kitabu kuna uhusiano gani na kazi yake??
#Bagwell
Uliza China kilichowakuta
Sirikali si haina dini.
#Bagwell