Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Ujinga mzigo.pole mgalatia
Unaona ujinga wenu? Kufukuzwa Kwake ni lazima na Magu alifanya vema. Kosa alilolifanya ni kuchana kitabu cha mtu mwingine, siyo kuchana Quran! Nyiye mnaokariri hamuelewi kutokana na ilimu ya madrasa. Hakuna kosa kuchana karatasi, ila kosa ni kuchana karatasi za mmiliki mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa boss kamaliza kazi akafie mbele, Ashinde kesi au asishinde akatafute shamba la kulima. JPM kaisha maliza ubishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atarudishwa kazini huyu bwana

Kifungu cha 24 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, 2002
Screen Shot 2020-02-12 at 8.32.30 AM.png



Kanuni ya 29 (1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma, 2003
Screen Shot 2020-02-12 at 8.04.34 AM.png
 
Tunaaminishwa kwamba watu wanaomuabudu Mungu ni wenye kutakiana msamaha na husamehe wengine....

Mbona kwenye hili povu limekuwa jingi na hamuonyeshi hiyo attitude zaidi ya kuonyesha roho mbaya na visasi....?
 
Unaziona makanisani kwa wazungu! Umeziona katika maandiko ya biblia? Lakini sisi tumeona mpaka Mtume wenu Muddy ameandikwa kuwadanda vitoto vya miaka 9 na waarabu kupenda tigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila kitu lazima kiandikwe kwenye biblia isingewezekana kila kitu kiandikwe hata wenyewe mnasema hivyo na ndiyo kuna mambo mengi sana yanafanywa na wakristo na hayapo kwenye biblia,halafu wazungu sio wakristo wale? Basi tungeona wazungu waislamu nao wakifanya hivyo misikitini ila hatuoni hivyo.
 
Tunaaminishwa kwamba watu wanaomuabudu Mungu ni wenye kutakiana msamaha na husamehe wengine....

Mbona kwenye hili povu limekuwa jingi na hamuonyeshi hiyo attitude zaidi ya kuonyesha roho mbaya na visasi....?
Maisha hayawezi kwenda kwa misamaha tu lazima na adhabu iwepo kwahiyo kila kitu kina nafasi yake.
 
Wote tunajua pesa ni karatasi na ina thamani! Quran ina thamani kwetu au kwako? Kwetu sisi ni karatasi za maneno yakiarabu, kwisha! Kaka Quran haina thamani yeyote kwa wasio waislamu! Tunawaeshimu tu, sema dini yenu na nyinyi makatili wahed!

Sent using Jamii Forums mobile app
Thamani ya kitu huwa tunakipa wenyewe na ndiyo maana pesa za zamani hazitumiki tumeziondoa thamani,pesa tunalazimishwa kuziheshimu hata kama unaona hazina thamani kwako ila ukichana unakuwa umefanya kosa kisheria. Hivyo ungekuwa kwenye nchi ambayo sheria zake zinakataza kuchana Qur'an basi pia ukichana haitaangaliwa kuwa unachukuliaje Qur'an kwamba ina thamani kwako au haina kitakachoangaliwa ni uvunjaji wa sheria uliyoufanya kama ilivyo kwa pesa.

Jana tu nilikuwa naangalia video za mapolisi wazungu wa marekani wakiwafanyia ukatili raia weusi huko marekani,hivyo ukatili ni tabia ya mtu tu sidhani kama wale ni waislamu.
 
Ukishafanya jinai yoyote na ukawa uko liable kushtakiwa, lazima usimame kazi. Kinachomsimamisha kazi ni kosa la jinai alilofanya, lakini kazini hana hatia, yaani hajafanya kosa ofisini. Kigumu kueleweka katika maelezo haya yote ni nini?
kifungu namba ngapi cha sheria za kazi kinatamka hayo au umetoka nayo nyumbani kwako?
 
Umenena kweli .
hakuna kitu hatari kama kuchezea au kukejeli imani za watu wengine.
haitoshi tu kufukuzwa kazi bali pia akikutikana na hatia afungwe gerezani ili iwe fundisho kwa wenye tabia za kudhihaki imani za wengine.

pia niwapongeze waislaam wa eneo hilo kwa kuonyesha subira na uvumilivu bila kuchukua hatua mkononi hakika mmeonyesha ukomavu sana !

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom