mtumwa hauawi jamani......

Nisamehe sana ndugu yangu kama nimekuwa harsh kiasi hicho,

Ila nimeongelea yale ambayo mie nisingependa kumfanyia mtu wala kufanyiwa.






Kuna kosa hapo?





Babu DC!!
hapana kaka, ila si wote ambao huwa wanakuwa wazi kusema hawezi kuendelea na wewe just bcoz una watoto! siwezi kuwakana, siwezi kuwagawa, its either unakubali au unakataa, ndio maana watu waliodivorce wengi anakuwa na mtu wa kumgonga na DILDO zinakuwa zinahusika kwa sana! coz at the end of the u cant expect a .com guy to marry u, just for leisure na kila mtu asepe! ila kwa nchi za wenzetu, naona kama ni tofauti mfano mzuri ni bruce jenner na kris kardashian, alimkuta na watoto wa4 na bado maisha yakaendelea!
 
Babu DC,hapo kwenye kutokuwa wa wazi kwenye mambo haya ndo penye tatizo kubwa.Moja kati ya mafanikio ya mwanadamu yoyote ni pale ambapo atafika mahali aweze kujiangalia na kujikubali bila masharti.Ji jambo la kukubali tabia flani ni mbaya na ninayo bila kujichukia halafu unachukua hatua za kuondokana nazo bila kujiumiza.Kujikata na kukataa tabia ambazo unazo ni kujiumiza.Ifike mahali watu wakubali tabia mbaya za kijamii kama hizi za kuwanyanyapaa wajane wenye watoto!
 
Cacico,nina ushahi mzuri wa kusaporti ulichosema,baba yangu mkewe wa mwisho alimkuta ana watoto wa3,walioana na maisha yaliendelea,huyu mama yetu wa kufikia ndo amekua msaad sana kwetu tunapomhitaji!Jamani mwanamke akizaa bado ni mwanamke tu!
 

Mimi nasema hiviiiii yeye akitaka afiche atajijua mwenyewe lakini siku mimi nitakapogundua kuwa kuna vitu alinificha halafu eti anitolee sababu za kimavi mavi sijui aliogopa uhusiano wetu utavunijka au hakutaka kuniumiza......sasa hapo ndio uhusiano utavunjika kabisaaaa wala sitageuka nyumaaa!!
Na ili tuwekane wazi nitamwambia mapema kabisa yani mwanzoni anieleze tu ukweli kama kuna lolote napaswa kulifahamu na kuwa akinificha nikajua mwenyewe mimi na yeye uhusiano wetu ndio utakua umeishia hapo sasa kazi kwake kusuka au kunyoa.
 
Babu DC, nakubaliana nawe , lakini si vibaya kuanza hatua mmoja- mbona Uganda wameanza TV show ya mtu kutanganza anayemtaka


Safi sana Edo,

Ni vizuri kuwa na watu ambao wako tayari kuonesha mfano. Ni level ya juu sana ya mtu kuwa selfless ingawa hiyo concept ni ngumu sana!!

Babu DC!!
 
Babu DC, nakubaliana nawe , lakini si vibaya kuanza hatua mmoja- mbona Uganda wameanza TV show ya mtu kutanganza anayemtaka


Safi sana Edo,

Ni vizuri kuwa na watu ambao wako tayari kuonesha mfano. Ni level ya juu sana ya mtu kuwa selfless ingawa hiyo concept ni ngumu sana!!

Babu DC!!
 
Cacico,nina ushahi mzuri wa kusaporti ulichosema,baba yangu mkewe wa mwisho alimkuta ana watoto wa3,walioana na maisha yaliendelea,huyu mama yetu wa kufikia ndo amekua msaad sana kwetu tunapomhitaji!Jamani mwanamke akizaa bado ni mwanamke tu!


u r a gentleman, a real man! they are women and they deserve to b luvd! naomba nisijekuwa victim, but i will always stand by their side, cause i can imagine how it feels! tena ukute ulidivorce kwa kumkuta mumeo na mdogo wako tumbo moja in bed, sasa leo tumedivorce nalea wanangu na still niishi na fact kuwa I WILL NEVER GET A REAL LUV FROM ANY OTHER MAN, BCOZ NINA WATOTO! Jamani this sounds pethetic kwangu!
 
Inawezekana jamaa alifikiria tofauti na alivyoambiwa na kutokana hakuwahi kumpenda zaidi ya kumtamani kuwa mke au mpenzi ni dhahiri/shairi lazima atoke speed anaposikia swala la watoto. If angekuwa amependa angetafuta njia muafaka ya kuhendo situation. Mwisho nampongeza huyo dada kwa approach anayotumia kulinda watoto wake cause wadada wenagine wakishapenda au kupendwa wanawachinjia watoto wao baharini. Awe na subira atatokea husband material kwake sooooooooooooooon
 
mwambie cindy hasihofu ni upepo tu utapita, atapata anayempenda,japo wanaume weng hawapendi wanawake wenye watoto, ukiongezea na kuachika huo ni upepo mkubwa.
kwani cindy alikua anashida na mwanaume sihilo libaba tuu lilikua kinganganizi? Ndio kinachomstaajabisha



0
 
Biologically wanaume wote wenye akili timamu hawapendi au hawataki kutunza Genes za mwanaume mwingine labda kama aamue kuwa charity organization.

Mmmmmhhhhh una uhakika?
 
Mkuu Bishanga , hapo kwenye RED and Bold kwa hilo swali umenistua kidogo Babaako.
Hebu nifafanulie Babaako before sija comment.

Mkuu,wee jibu tu swali,tatizo ni nini kuoa divorcee/mwenye watoto?
 
Na kinachowaumiza jamaa akiingia mitini ni hicho...kwamba alijua akitoa tunda jamaa anajenga kibanda!


Kaaaazi kwelikweli,ndo mana siku hizi kuna kinamama 'wananunua' ngono maeneo ya salenda,sad ,immoral lakini ndo hivo wanakwepa haya ma stress.
(Na kwenye ma gym haka ka biashara kapo,mama akitaka mwenye six pack.......)
 
Na kwa wahaya ukioa mwenye mtoto hupewi ule mkuki......prove me wrong Bishanga.
Sasa kama jamaa ni mhaya aliona atakosa mkuki.....

Kuna kitu kinaitwa 'okwebuga' ni maneno special mwanamme anayatamka alfajiri inayofuatia ndoa yake na baada ya hapo baba yako anakupa mkuki na zawadi (okukushumika),sasa ukioa divorcee/mwenye mtoto hayo maneno utayamka vipi?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…