Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Eeh demiss cha mdeko, mchuchu wangu kimwana
nalipenda lako cheko. usiyejua kununa
na huo mji mtako, nipe (penzi) ntakukuna
ni tayar kwa chochote, nimpokonye mshana.
Hatari sana mkuu... Fimbo ya dunia hii hata mshana jr aloge wewe hakuwezi
 
Mtoto umeshepuka, kifuani saa sita
Nyuma umejaaliwa, sura nayo umepewa
Picha nikikuvutia, bafuni nakimbilia
Nyuma nakushikilia, na makofi nakupiga
Mabusu nakumwagia, ndimi twazikutanisha
Kisha nakuinamisha, kimoja nakumwagia


NB: umeshepuka = una shape/shepu nzuri.

Cc Dinazarde
Usimmwagie kimoja bali angalau viwili
 
Back
Top Bottom