Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Mshana jrAmbaye ni psych counselor?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana jrAmbaye ni psych counselor?
Mkuu acha uoga, endelea kupigania mtoto...Hahahah serious?
Mm sio mgeni kwake! Yeye ndo atatoa majibu mkuu!
Ila huyu hajakutungia shairi mbona?Mshana jr
Mimi ndo nazionaMbona sijaweka kuni mwenza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi ndo naziona
Loooh nilkuwa sijui alisema kwenye uzi gani?Ni mzee wa tunguli yule. Alishasema yeye anapenda uchawi
Hahaha hili sio shairi itakuwa verse kwenye bongo flavor!!!!Naam,
The heading above is concerned!
Tunga shairi lenye ubeti mmoja au zaidi kwa mwanamke yeyote ambaye unampenda hapa jf.
Shairi linaweza kuwa la kimapokeo yaani lenye vina na mizani au la kisasa lisilozingatia urari wa vina na mizani...
Mimi ninamtungia Hajar, mwanamke wa ndoto zangu hapa JF.
"Nampenda msichana, Mnyange mrembo sana
Hajar ndo lake jina, hakuna wa kumfanana
Kichwani ushungi sana, nywele hutoziona
Mwanamke wa ndoto zangu, ni Hajar hakyanani "
Haya.. Tuendelee kuwatungia mashairi.. Yaani wasipoelewa kwa mashahiri haya, basi hatuna namna ingine..
==========================
Ona shairi la Psych Counselor kwa Demiss
" Demiss my love, nimekupenda siku nyingi.
Pembe langu la ndovu, lanitesa nikiona lako wigi.
Umati jf wanishangaa, napoandika shairi hili.
Uko wapi Demiss wangu, njoo ua la moyo wangu."
Hata mm naenjoy kweli kweliMkuu acha uoga, endelea kupigania mtoto...
Usitegemee kuroga,wakati hujui kumshawishi mtoto.
Jifunze kubonga, hili batle kati yetu si la kitoto.
Yupo kilingeni na watejaaaaIla huyu hajakutungia shairi mbona?
Unaenda kwa Ruta Bukoba au?Hahaaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
smell of Banned[emoji53][emoji20]
Yaani nimeutafuta ule uzi nimeukosa... Ila nilishauona kabisa akijinadi kuwa anapenda uchawiLoooh nilkuwa sijui alisema kwenye uzi gani?
Mimi mwenyewe Hajar hajanijibu hadi sasaNaweza andaa hata lisijibiwe
Huyo anajali wateja zaid yako hakufaiYupo kilingeni na watejaaaa