D
[emoji23][emoji23] ilo sasa muulize mleta uziHata ya hip hop yanaruhusiwa?
Hatari sana mkuu... Fimbo ya dunia hii hata mshana jr aloge wewe hakuweziEeh demiss cha mdeko, mchuchu wangu kimwana
nalipenda lako cheko. usiyejua kununa
na huo mji mtako, nipe (penzi) ntakukuna
ni tayar kwa chochote, nimpokonye mshana.
Usimmwagie kimoja bali angalau viwiliMtoto umeshepuka, kifuani saa sita
Nyuma umejaaliwa, sura nayo umepewa
Picha nikikuvutia, bafuni nakimbilia
Nyuma nakushikilia, na makofi nakupiga
Mabusu nakumwagia, ndimi twazikutanisha
Kisha nakuinamisha, kimoja nakumwagia
NB: umeshepuka = una shape/shepu nzuri.
Cc Dinazarde
Kwani Shunie, kusoma huwezi, hata picha huelewi?Asante sana mkuu ubarikiwe mno
Kwa style hii hutungiwi shairi weweMfyuuuuuuu
Eeh demiss cha mdeko, mchuchu wangu kimwana
nalipenda lako cheko. usiyejua kununa
na huo mji mtako, nipe (penzi) ntakukuna
ni tayar kwa chochote, nimpokonye mshana.
Kwahiyo ningejibuje etiKwani Shunie, kusoma huwezi, hata picha huelewi?
Kwani hapa umefanyiwa maombi ya sala au umepigwa tongozo?
Huyo mbalizi na asinitungie tu sitaki shairi lake abaki nalo tuKwa style hii hutungiwi shairi wewe
Weka shairi wewe [emoji23]Haya watakuja
Mimi nikikutungia ni sawa?Huyo mbalizi na asinitungie tu sitaki shairi lake abaki nalo tu
Aiseeeeeeee!Upendo wako kwangu ni zaidi ya maisha yangu
Sijakupenda leo tangia mwanzo wa life langu
Tupendane milele tuwashinde mpaka mwewe
Sweetlee we ni zaidi ya sweetheart kwangu.
[emoji7]
WaituKwan naww Rutabanzibwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Utatungia wangapi jamaniMimi nikikutungia ni sawa?
Shunie acha kichwa ngumu, fungulia vidume mlangoWoyoooooooooo
Wakora!!!Waitu