Ujue nilikuwa nashindwa kuku identify[emoji3] [emoji3] kumbe ni keIkifika zamu ya wanawake kuwatungia mashairi wanaume tunaowapenda, uniite nije kumshushia mistari nimpendae[emoji12]
Shunie shunieli kibonge tukunyema kama meliMlango upi huo jamani
Huyo umpendae...[emoji181] pasipo kutilia masahaka atakua ni mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ikifika zamu ya wanawake kuwatungia mashairi wanaume tunaowapenda, uniite nije kumshushia mistari nimpendae[emoji12]
Daaaaah, ashindwe yy tu aseeeUnategeana na nani sasa! Akati apo mtoa uzi kasema shairi kutoka kwa me kwenda kwa ke
Haha hata kwa kidhungu we andika tu
Niko na dikishonari hapa
Woyoooooo kibonge mie jamani mbona najiona portable ghaflaShunie shunieli kibonge tukunyema kama meli
Acha wakukejeli hao mateja na wabwia kuberi
Penzi lako tamu kama asali yanini Kutia shubiri
Wajinga watasubiri kukutia machoni pilipili
Tule zetu popukoni mechi tukiisubiri
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji16]
Heeh! sikuona kama jinsia imezingatiwa hapo...Unategeana na nani sasa! Akati apo mtoa uzi kasema shairi kutoka kwa me kwenda kwa ke
Haha hata kwa kidhungu we andika tu
Niko na dikishonari hapa
Kwanini iwe hivyo boo?Mi ningemtungia Mzigua90 lakini naona la kwangu litafukiwa.
Tukunyema kama meli[emoji3] [emoji3]Woyoooooo kibonge mie jamani mbona najiona portable ghafla
Unamjua unamsikia?
Mbalizi umeanza tatizo haujiamini mshazoea kufungiwa pm hata mkiambiwa ipo wazi mnaogopaMfyuuuuuu
Haha..hapo sasa sawaHeeh! sikuona kama jinsia imezingatiwa hapo...
Soon nashusha ubeti mmoja nitakutag [emoji23]
Niwacheeee na utukunyema wanguTukunyema kama meli[emoji3] [emoji3]
Heeeee! Ina maana usiku wa jana tumekesha wote lakini hukunigundua? [emoji134][emoji134][emoji134] Kweli hii sauti yangu ya besi itaninyima fursa humu ndani[emoji53]Ujue nilikuwa nashindwa kuku identify[emoji3] [emoji3] kumbe ni ke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeeee! Ina maana usiku wa jana tumekesha wote lakini hukunigundua? [emoji134][emoji134][emoji134] Kweli hii sauti yangu ya besi itaninyima fursa humu ndani[emoji53]
Mshushie nduguHeeh! sikuona kama jinsia imezingatiwa hapo...
Soon nashusha ubeti mmoja nitakutag [emoji23]
[emoji16][emoji3] Acha kabisa mapenzi mubasharaWoyoooooo kibonge mie jamani mbona najiona portable ghafla
Tafadhali usinigombanishe na shoga yangu Faiza Foxy[emoji53][emoji53][emoji53]Huyo umpendae...[emoji181] pasipo kutilia masahaka atakua ni mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
We nakujua wala aihitaji manatiMbalizi umeanza tatizo haujiamini mshazoea kufungiwa pm hata mkiambiwa ipo wazi mnaogopa
Nayaona mkuu jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] Acha kabisa mapenzi mubashara
[emoji23][emoji23][emoji23]Mshushie ndugu