Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

Shunie shunieli kibonge tukunyema kama meli

Acha wakukejeli hao mateja na wabwia kuberi

Penzi lako tamu kama asali yanini Kutia shubiri

Wajinga watasubiri kukutia machoni pilipili

Tule zetu popukoni mechi tukiisubiri

[emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji16]
Woyoooooo kibonge mie jamani mbona najiona portable ghafla
 
Back
Top Bottom