Ukiendelea na ubeti wa pili usisahau kunitag[emoji23]Ngoja niombe kalamu, nitume zangu salamu,
Kwa mtoto wa kilamu, uzurie ka tunda damu,
Mwingine simfahamu, yeye tu anipa hamu,
Kwake naziba fahamu, anipavyo nafahamu....
Nakupenda Evelyn Salt.
HahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaKweli kikulacho ki nguoni mwako...asanteni kwa ushauri wenu mbaya [emoji53][emoji53][emoji53]
Anatuzuga tu huyoThad badili avatar bana
Nihonge ubeti mmoja tu nikusamehe[emoji12]Ebungoja nichutame, maana mtumzima ushanivua nguo.... tehteehhh
Ushimen kazi kwako hapoNihonge ubeti mmoja tu nikusamehe[emoji12]
Demiss mpendwa, mjina mrefu uwe makiniye,Naam,
The heading above is concerned!
Tunga shairi lenye ubeti mmoja au zaidi kwa mwanamke yeyote ambaye unampenda hapa jf.
Shairi linaweza kuwa la kimapokeo yaani lenye vina na mizani au la kisasa lisilozingatia urari wa vina na mizani...
Mimi ninamtungia Hajar, mwanamke wa ndoto zangu hapa JF.
"Nampenda msichana, Mnyange mrembo sana
Hajar ndo lake jina, hakuna wa kumfanana
Kichwani ushungi sana, nywele hutoziona
Mwanamke wa ndoto zangu, ni Hajar hakyanani "
Haya.. Tuendelee kuwatungia mashairi.. Yaani wasipoelewa kwa mashahiri haya, basi hatuna namna ingine..
==========================
Ona shairi la Psych Counselor kwa Demiss
" Demiss my love, nimekupenda siku nyingi.
Pembe langu la ndovu, lanitesa nikiona lako wigi.
Umati jf wanishangaa, napoandika shairi hili.
Uko wapi Demiss wangu, njoo ua la moyo wangu."
NakupendaKwakua najua hali yangu kwako sio nzuri mbele ya wengine.
Watakuja tuu, huu ndio uanaumeHivi tunavyowaita na kuwatungia mashairi ya kimahaba alafu hawajibu, ni dharau au ni nn mkuu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nakupenda
Wangu wa moyo kipenzi, uzurio nauenzi,Ukiendelea na ubeti wa pili usisahau kunitag[emoji23]
Ehee hapo sawa unahitaji nguo ya bei gani ya sikukuu.Nakupenda
Angalia PM nishakutumia beti moja, maana hii ni bahati ya kipekee kabisa....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nihonge ubeti mmoja tu nikusamehe[emoji12]
Tungoje nn mkuu?na ugumu wote huu kuimbishana mashairi em ngoja kwanza
Hahaha.. Tishaa sana aiseeYule wanae muita ajuza....[emoji15] [emoji15]
Mina yule ni sawa na Giza na mshumaa ulio zimika.... Ebu fanya ukuje huku nikupe huba lisilo pungufu ya haba....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
ImooooNakupenda
Wanatukatisha tamaa sisi tumekua Sharu Khan wa jf bado hawataki elewahahaa wanaogopa kugonganisha magari "" aisee ..mnataka kuwaharibia watu ugali wao
Ya laki 2 bbyEhee hapo sawa unahitaji nguo ya bei gani ya sikukuu.
Acha keleleImoooo