Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

sweetle waniliza machozi yasiyo kwisha.
Kila siku nakueleza jinsi unavyo nipagawisha.
Bora uniweke wazi kama mapenzi yamekwisha.
 
Vijembe waziwazi napigwa najiona!
 
makonda kitu gani? dawa feki kwa vidonda

Kila Siku ubungo maji anafanya kazi kama punda,

Demiss mtoto laini haitaji zako fujo chokochoko na dhoruba,

Usiku ukiingia atalala mororo kwenye lake tumba..

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…