Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Taspota Rutta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mumu karibu sana,lakini karibu zaidi kwa ruta
Naomba ufikiri sana,kamwe usiweke ukuta.
Kifupi nimekuzimia sana,Lakini nahaidi utojuta.
Usinitafutie kesiii weweHaha... Shairi limejaa mahaba... Ngoja niliweke mbele ya uzi huu
Na viungo vyakeeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kichwaaa!!? chaaa........
Waoooooh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Upendo wako kwangu ni zaidi ya maisha yangu
Sijakupenda leo tangia mwanzo wa life langu
Tupendane milele tuwashinde mpaka mwewe
Sweetlee we ni zaidi ya sweetheart kwangu.
[emoji7]
EbanaeeeeeeeeNa viungo vyakeeee
Ila shemeji na wewe kigeu geu hata ile ulisema nibadilishe whyShem nilikwambia hiyo avatar ubadilishe lakini na wewe ni mbishi.
WagumaTaspota Rutta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan naww Rutabanzibwa[emoji23][emoji23][emoji23]Waguma
Sawaa Mkuu,ngoja nijipange nije na methali za kutosha bila kusahau nahau!Tumia mkuu, vipange kwa mfumo wa shairi
Kwa sababu umependa wazi wazi, basi na sisi tunamuweka apate kuona.Vijembe waziwazi napigwa najiona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah ana tunguli za kujikinga
Kesi gani? Au una mabebe wengi hapa jamvini?Usinitafutie kesiii wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nehi nehi@sweetle waniliza machozi yasiyo kwisha.
Kila siku nakueleza jinsi unavyo nipagawisha.
Bora uniweke wazi kama mapenzi yamekwisha.
Ya kawaidaDuuu mkuu umetisha avatar yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au niombe MTU anitungie nimtaje sweetle
Nataka kuwa pekee yangu [emoji23][emoji23][emoji23]Usinifanyie hivooo sweetlee[emoji23] [emoji23] au kwavile mpo wengi?
Ngoja ashushwe shipa [emoji23][emoji23][emoji23]Naona ana utani na mshana Jr , japo kaexpress feelings zake
Yeye atakutoa ya rohoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nmetoa ya moyoni!