Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Super glue inatoka mbona
Mbona kupo wazi jamani nimeshatoa super glue mda sanaHuko ulikotia super glue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super glue inatoka mbona
Mbona kupo wazi jamani nimeshatoa super glue mda sanaHuko ulikotia super glue
uki force " lazima itoke na vinyama nyamaSuper glue inatoka mbona
Sasa tufanyeje na hawataki kuweza avatar zao originalExactly
Ukijaribu kuitoa anaumia bora kuacha hivo hivoSuper glue inatoka mbona
Haha.. Labda hao wengine na siyo Hajarhahaha ulikuwa haujui" .....??..ukienda kwenye uhalisia ..mkutane waweza kutoka mbio ""!!
Umeona eenhuki force " lazima itoke na vinyama nyama
Ukijaribu kuitoa anaumia bora kuacha hivo hivo
uki force " lazima itoke na vinyama nyama
Kashakiri pako wazi... Kazi kwenuMbona kupo wazi jamani nimeshatoa super glue mda sana
sawaaaa... imani inaponya ""Haha.. Labda hao wengine na siyo Hajar
Umeona eeh [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana... Wengi wanafia avatar zaid humu
Ikifika zamu ya wanawake kuwatungia mashairi wanaume tunaowapenda, uniite nije kumshushia mistari nimpendae[emoji12]Ngoja kwanza nisubiri apite hapa kwanza, kabla sijatupia mistari....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tunategeana [emoji23][emoji23]Nasubiri nilisome shairi lako kwenda kwa wifi
Hahahahahaaaaahahaaa " unga wako wa kusongea ugali "" ni vumbi la Congo au""?
Sasa wewe inabidi uanzishe huo uziIkifika zamu ya wanawake kuwatungia mashairi wanaume tunaowapenda, uniite nije kumshushia mistari nimpendae[emoji12]
MfyuuuuuuMbona kupo wazi jamani nimeshatoa super glue mda sana
Unategeana na nani sasa! Akati apo mtoa uzi kasema shairi kutoka kwa me kwenda kwa keTunategeana [emoji23][emoji23]
Unamjua unamsikia?Kashakiri pako wazi... Kazi kwenu