MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

tuzo za kupeana wasauzi. sijui kama tutaambulia kitu hapa.. Namuona black coffee na Casper wanapewa support kubwa sana. Tukichukua hata moja basi ni bahati sana. Waswahili husema mcheza kwao hutuzwa.
We jamaa unaangalia TV gani?? Yemi Alade anatokea Sauzi? Sauti Soul wanatokea Sauzi? Watu wengine bora mubaki kwenye majukwaa yenu ya Siasa na Ujasiriamali...Ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…