Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
We acha tu,Hahahaha watu wanajua kukamata fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu,Hahahaha watu wanajua kukamata fursa
yemi alade ni sawa na akothee/diamond mziki + juhudiNaona tiwa hakuti kwa Yemi sema naye yuko vzuri Yemi alade anajulikana mno
Bora hata wewe umejua ni ya nani maana ni shidaMiguu ya Lulu Michael hiyo
We jamaa unaangalia TV gani?? Yemi Alade anatokea Sauzi? Sauti Soul wanatokea Sauzi? Watu wengine bora mubaki kwenye majukwaa yenu ya Siasa na Ujasiriamali...Ahtuzo za kupeana wasauzi. sijui kama tutaambulia kitu hapa.. Namuona black coffee na Casper wanapewa support kubwa sana. Tukichukua hata moja basi ni bahati sana. Waswahili husema mcheza kwao hutuzwa.
Yani nakuombea hapa, kitita ni chako anza kupanga matumizi tu.Usicheke my dia usije ukasababisha nikakosa hela
Kwa kweli tiwa anajua ila naona kajiridhikia na alipo fikayemi alade ni sawa na akothee/diamond mziki + juhudi
tiwa savage hana juhudi sana
Bora umejib yeye kakimbia kisa nimemwelezea ukweliMiguu ya Lulu Michael hiyo
nenda channel 350 mtv base kama una azam tvAzam One wamenizengua...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]We jamaa unaangalia TV gani?? Yemi Alade anatokea Sauzi? Sauti Soul wanatokea Sauzi? Watu wengine bora mubaki kwenye majukwaa yenu ya Siasa na Ujasiriamali...Ah