We jamaaa sjui nikupe nini hahahhahahhahahahah umenifanya niangalie kitu onlineWale wanaotaka live streaming ya YouTube
Angevaa simple ila katuwakilisha tuwatie moyo hawa vijana tusi wadis sanaAlikiba kaingia kwa mbwembwe.......... ameingia amekaa kwenye kiti cha mfalme na nyuma ya hicho kiti kuna bendera ya Tanzania......... ila mavazi kama mganga wa kienyeji
Mbona kaeleweka vizuri tu.Kazingua sana, kaweka sifa mbele mpaka akawa hasikiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Like serious?sinaga michezo ya kudanganyana mie let's wait and see
Nawachagua mashaidi ni Diva Beyonce na shunie ole wako unirushe ndio utanijua mie ni nani[emoji109] [emoji110] [emoji123]
Labda aisee ila mwanawe sasa kashakuwa mkubwaTiwa savage nafikiri likizo ya uzazi imemchosha sana
Mi huwa nafurahi tu wakilitangaza taifa letu hayo mengine hata hao wasanii wengine wanaharibu vile vile sema kwa sababu mbongo mwenzetu huwa hatukosi cha kumlaumuAlikiba kaingia kwa mbwembwe.......... ameingia amekaa kwenye kiti cha mfalme na nyuma ya hicho kiti kuna bendera ya Tanzania......... ila mavazi kama mganga wa kienyeji
Yani watu humu wanaleta u team wa kijnga jnga kila kitu ni kupinga tu,hao wasanii wetu wameenda kuwakilsha taifa letuAngevaa simple ila katuwakilisha tuwatie moyo hawa vijana tusi wadis sana
Huma?Huma Sekela...Living Legend
Majjizo on aire tv nao wanaonyesha
Ndio imetoka....... diamond akiimba sasa hivi anasepa na kijijialikiba atapafomu tena.?
Wa tandale na atapata kwa kupitia mgongonlabda diamond atapataa ila kiba atapata kupitia kwa saut soul
Sauti sol wameshinda so ndio imekuaje hapoTanzania kwanza
Ila huyu alikiba akitajwa hiyo tuzo itaenda Kenya au Tanzania!!?
Hapo mtihani