MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Alikiba kaingia kwa mbwembwe.......... ameingia amekaa kwenye kiti cha mfalme na nyuma ya hicho kiti kuna bendera ya Tanzania......... ila mavazi kama mganga wa kienyeji
Mi huwa nafurahi tu wakilitangaza taifa letu hayo mengine hata hao wasanii wengine wanaharibu vile vile sema kwa sababu mbongo mwenzetu huwa hatukosi cha kumlaumu
 
Nasubir ushindi uje nyumbani
1ab15a821d1a756dc80afae847732546.jpg
 
Back
Top Bottom