swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Thanx maana nilikuwa nshapanda kitandani... Kwa sms yako naangalia sasae tv nao wanaonyesha
poa asanteKwa wale ambao hawana DSTV Masaa matatu kutoka sasa ingia hapauangalie MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2016 LIVE
Sauti Sol wameshinda kipengele cha Best Group... Ali kiba anahusika nini???Sauti sol wameshinda so ndio imekuaje hapo
Yemi alade ndo alikua kikwazo hapoPole vanesa tuzo kwa yemi alade
hao hawapo livee tv nao wanaonyesha
Fatilia e.tv ile ya south ndio wameanza anzapoa asante
Nakwambia nina Presha hapa utafikiri nini sijui[emoji22][emoji22][emoji36][emoji36]Iv kuna Matumain ya Mtz yeyote kuondoka na Tuzo yeyote hapa ....??
Wengine mambo ya utimu tulishayaacha maana ni upuuzi na kuwa discourage wasanii wetu.Yani watu humu wanaleta u team wa kijnga jnga kila kitu ni kupinga tu,hao wasanii wetu wameenda kuwakilsha taifa letu
Huyo saiv hakamatiki drake ...Best international act goes to drake
Zero ChanceIv kuna Matumain ya Mtz yeyote kuondoka na Tuzo yeyote hapa ....??
Kisimbusi gani namba ngapie tv pia wanaonyesha
Mi namsubiria Bin laden tuu hamna namnapoa asante
Hiyo recorded,live ilikuwa MtvThanx maana nilikuwa nshapanda kitandani... Kwa sms yako naangalia sasa