Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
One Man Down...mmoja anabeba!
Asante nimekuelewa vema sanaSauti Sol wameshinda kipengele cha Best Group... Ali kiba anahusika nini???
Tuombee labda washinde kile kipengele cha Best collabo au song of the year.!! Ila kwa hiyo waliyochukua Ali hausiki
Sion Matumain hapaNakwambia nina Presha hapa utafikiri nini sijui[emoji22][emoji22][emoji36][emoji36]
One Man Down...Usicheke my dia usije ukasababisha nikakosa hela
Kaangukia pua tayari huyo..mshindi ni WizkidMi namsubiria Bin laden tuu hamna namna
Wewe mtu mbona napoteza matumaini ya helaZero Chance