MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Sauti Sol wameshinda kipengele cha Best Group... Ali kiba anahusika nini???

Tuombee labda washinde kile kipengele cha Best collabo au song of the year.!! Ila kwa hiyo waliyochukua Ali hausiki
Asante nimekuelewa vema sana
ila kumbuka nyota njema huonekana asubuh
my man wizkid yupo???baba nla
 
Back
Top Bottom