Shemtibuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 728
- 1,014
ni usiku wake leoWizkid ana bahati ucku wa leo
Kapiga nyingine tena kwaniWizkid ana bahati ucku wa leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangaza ya kifuta machozi tuHahahaha niongeze dau kwa aliebaki?
Hahaa kwakweliHaya tukalale sasa
Yes ila alishirikishwa na DJ maphorisa sijuiKapiga nyingine tena kwani
Artist Of The Year! Itakuwa ya mwisho kutolewa nadhani..Hivi diamond hayupo kwenye category nyingine
Dah aise..aise kweli tanzania wote dugu moja ...najiskia vibaya ..ila yote herinipo mkuu namfuta mond na sallam machozi hapa
Shida swagg hanaMwache awakilishe nchi,
Kwani shida iko wapi hapo?
Wizkid alikua na ukame sana wa tuzo ila akavumilia hatimaye kashinda ana deserve kwa kwelini usiku wake leo
haaaaaa usinichekeshe ....Doooctooor....!!
Jamani niitieni dokta nahisi kufakufa...
Jamani nafwaaa...
Nitaiweka wapi sura yanguu...
Ashinde hata hyo bwana atunyanyue WatanzaniaArtist Of The Year! Itakuwa ya mwisho kutolewa nadhani..
Mungu atafanya muujiza.. Amen