MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Waswahili mna midomo sana, huyu Diamond si juzi tu kapata tuzo Marekani?

Kwenye tuzo hizi kipengele walichomuweka Diamond kama angeshinda hata hizo tuzo zingekosa maana kabisa.
 
Huu mwaka ulikuwa mgumu Sana kwa wasanii wa tanzania wote walistahili kukosa
Tanzania hakuna chipukizi wa kumshinda tecno
Hakuna msanii wa kike wakushindana na yemi
Na hakuna msanii Tanzania anayemfikia hata kwa karibu wizkidayo tulistahili kukosa tunasafari ndefu hapo na davido hakuwepo ila we deserved it
 
Kwa coment hii hujatenda haki kutaka kumfananisha super vocalist Cristian Bella na wasanii.

Ni lazima ufahamu kuna tofaiti kubwa kati ya Mwanamuziki na msanii


Cristian Bela ni level za kina Felle gola, Fally Ipupa, Jibe Mpiana and likes.

Christian Bella ni mwanamuziki, tofauri na hawa timu mavimavi wenu ni wasanii tu ambao kimuziki hawawawezi hata waimba kwaya wa makanisani ambao wanajifunza zile nota za musiki.
 
Waswahili mna midomo sana, huyu Diamond si juzi tu kapata tuzo Marekani?

Kwenye tuzo hizi kipengele walichomuweka Diamond kama angeshinda hata hizo tuzo zingekosa maana kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimependa point yako
 
ila kiukwel hizi tuzo zina unaigeria mwingi na usouth Africa angalia hata muda waliopewa Alikiba na Diamond kuperfom na muda waliopewa wanigeria na wasouth, alafu ile category ya best videos waliangalia vigezo gani??
 
ila kiukwel hizi tuzo zina unaigeria mwingi na usouth Africa angalia hata muda waliopewa Alikiba na Diamond kuperfom na muda waliopewa wanigeria na wasouth, alafu ile category ya best videos waliangalia vigezo gani??
Hakunabupendeleo wwte katika tuzo mwaka jana mbna alichukua diamond na hamkusema kuwa tuzo ina utanzania mwing kikubwa ninkadri uteam unavokuwa ndo tunazid kuwapoteza wasanii wetu kwa kuwabwetesha na kujiona wasanii wakubwa na kupunguza juhudi zao kwa kulewa sifa
 
Kwa hapa muziki wetu ulipo collabo ni muhimu kama sio lazima... nazungumia collaboration with international artists. Collabo inatumika kama kujitanua nje ya mipaka kitu ambacho kwa wasanii wa Tanzania majority bado ni local artists! Afadhali Diamond yeye anajivuta vuta lakini wengine bado sana! Hata huyo Diamond amefika alipo kwa ajili ya collabo! Hata huyo Starboy, ingawaje Ojuelegba ilimweka juu lakini collaboration na Drake pamoja na Chris Brown zilimpaisha maradufu ya pale alipokuwa! Na ingawaje nilipendelea tuzo achukue Diamond lakini deep inside my hear nilifahamu Starboy deserved all trophies mbele ya Chibu!

Kwahiyo collabo ni muhimu sana. About album, I don't give a shit... muziki umebadilika sana and no body cares about albums!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…