MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

kweli mkuu diamond hawezi kushinda hizi tuzo maana hapa bongo ana kura chache sana nadhani ni wakati wa kujifunza kuweka muziki wake mbali na mapenzi
perfect!
sema nahisi sallam sk hajaliona hili
itabidi waanzishe kipindi wapite mtaani wasikilize kinachowakera mashabiki kitoka kwa msanii wao..
mimi pia mkereketwa kuhus mapenzi na kazi.
diamond tulimzoea kazi kazi..
na huyu hawara ake wa uganda waTz washamchoka majivuno yake na tabia za kipuuzi, halafu anamrudisha nyuma sana sana.
ukitaka kufanikiwa kimziki mapenzi tupa kando ajifunze kwa wasanii wenzie.. akina wiz
hii tabia yao ya kiswahili na zari inanichefua
mwaka huu sikupata shida na hio kura
nmepiga mwishoni tuu.
na pia MTVmama hakuipa priority, alifocus BET alivoshindwa tu basi akalala
upuuzi na lile libibi ukaanza.
salamu za pole na pongezi zimfikie diamond popote alipo, asiwe kama wema sepetu!
afanye kazi, mapenzi baadae na hilo libibi la kiganda ni wakati wa kuliweka kando aka focus maana linamrudish nyuma sana
 
Mkuu kama kitu hujui bola uulize na sio kubisha tu ikiwa ata utoaji wa tuzo haujaangalia, tuzo ya best collaboration imeenda kwa Dj maphorisa, wizkid and dj buckz na hao wote wamepwa tuzo moja moja, sasa we umekazana kubisha tu
 
Kuwepo kwa majina kibao ya watanzania wanaowania tuzo mbalimbali mbona ni mafanikio tosha tu,mi nchi kibao Afrika haikuwa na mwakilishi hata wa dawa.Tatizo la wabongo huwa tunaamini tunajuuuuuua wakati ukweli ni kuwa tunajaribu jaribu tu.
 
Mkuu madale mmenuna
Bwah bwah! Tunune wakati mwenzenu hizo tuzo keshawahi kuchukua! Btw, let's keep it this way: "E bhana jana Ali Kiba kapiga bonge la show... show la karne ambalo halijapata kutokea duniani!" Does it change anything? Sana sana ukienda kwa mashabiki wa WizKid watakuambia Starboy kapiga bonge la show! Ukienda kwa mashabiki wa Yemi Alade nao watakuwa Yemi kapiga show la kufa mtu and so on!

But anyway, I can understand you guys... King HAJAWAHI kupata venue kubwa kama ya jana kwahiyo mna kila sababu ya kujivuna! Kwa mashabiki wa Diamond waliozoea venues kama zile bila kusahau MIJIMITUZO MIKUBWA MIKUBWA kama ile ya Best African Act, Best Act (Worldwide); katu hawawezi kuona suala la performance ni big issue!!!! So, I can understand you guys... si vibaya kujivuna hata kwa kidogo upatacho ingawaje mnaonekana kiroja kushangilia kitu ambacho hakipo!!!!
 
uko vizuri kwenye kujitetea!!timu mondii
 
Diamond kazoeya venue kubwa mbona sasa alikua anatetemeka jukwaani hadi akawa haeleweki?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya kujitetea

tumefeli mkubali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…