lynne
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 897
- 1,182
Cha msingi waanze kutoa album maana msanii bila album soko lakimataifa hutofanikiwa.Diamond katoa nyimbo ngapi bora mwaka huu, na wizkid katoa nyimbo ngapi bora mwaka huu?
Ifike mahali wasanii wa bongo wasitoe nyimbo kama mashindano, we want some quality songs na zinazodumu kwa muda mrefu.
Wizkid hatoi nyimbo ovyo ovyo ila akitoa anatoa jiwe la maana, namkubali sana tekno maana anatoa nyimbo mfululizo lakini mawe. Ila hawa ndugu zetu bongo, wanatoa nyimbo ovyo ili kuziangusha nyimbo za wasanii wengine na huo ndio ujinga wao.
Ukiwa na album hata ukiwa na tour unakua na nyimbo nyingi na mpya za kuimba mf show za wizkid na psquare yan wanacollection yakutosh ya nyimbo
Wizkid deserved hizo tuzo zote... Mondi kaza buti rekebisha makosa then hopefully next time tutapata.