MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Ila tusife moyo kumbuka leo tumefika level zakushindana na SA n Nigeria kimziki ni hatua kubwa..tunajulikana Africa nadhani sisi ni nchi ya 3 kuingiza nomination nying mtv so ni hatua. Angalia pia africa kuna nchi ngapi na zikowapi
 
Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!

That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!
Sema tu roho inakuuma Kiba kafanya bonge ya show wakati diamond katetemeka jukwaani nyimbo moja anahema kama anakimbizwa.
 
😀😀😀🙂🙁
 

Attachments

  • jonas_kiba-20161023-0001.jpg
    jonas_kiba-20161023-0001.jpg
    21.5 KB · Views: 32
Pamoja na kuja na mameneja wawili hadi kwenye rehearsal tuzo zimeota mbawa, mmeishia kutetemeka jukwaani.
Kwaiyo una bishana na bet huyu kiba wenu kaimba sekunde ngap mbona hajaimba nyimbo zke
 

Attachments

  • 1477203830373.jpg
    1477203830373.jpg
    24.8 KB · Views: 27
Wizkid ana base kubwa nigeria wako wengi na watumiaji wa mtandao n wengi ! ila waandaji watakua wanaangalia vigezo vingi zaid ya kura! Ingekua n popular votes tu nigerians wange funika kila mwaka! ATA KISWAHILI BADO SANA UKO AFRIKA MAGHARB NA SOUTH! NDO MAANA SALOME HAIJAIMBWA JANA NA MOND COZ IKO NA KISWAHILI MINGI@ AKAIMBA KIDOGO AMBAYO AMEMIX NA LANGUAGE
 
yule davido amezaa na mdada flani hivi ila huwezi mkuta kampost akitukana mitandaoni hata kina p square wameishi na wale wake zao long sana ila hawakuwa wanaonekana saana kujibizana na mafans wa waume zao mitandaoni.ila utashangaa huyu zari kila siku vijembe mateam ya ajabu hadi anamuharibia mwenzie.yaani diamond angetulia yeye kama yeye angefika mbali zaidi. zari kila siku anatukana watu unadhani watapiga tena kura kwa diamond? si unajua wanawake tulivo mkuu?

Nimegundua una personal issues na Zari. Zile zinaitwa kutamania, or kuwish kuwa kama etc.
Nani wewe kila ukimwandika ni chuki? Zari ni celeb miaka mingi na she knows jinsi ya kuishi na fans.

Uache kumuandika vibaya, hajawahi kufanya lolote baya.


Nimegundua pia unamchafua kama vile aachike, ooh poor you. One thing utaumia ulipo hapo, yeye na Diamond wanabebana.
 
pamoja na mambo mengine,ila wadau kiukweli hasa lugha ya kiingereza ni muhimu sana katika uimbaji hasa kama msanii ana lengo la kutoboa kimataifa...hii inajidhihirisha wazi kwa wasanii wa Nigeria na S.Afrika,hawa wenzetu wanafanikiwa sana anga la kimataifa kutokana na utumiaji.mkubwa wa lugha ya kiingereza katika miziki yao,hata kama mtu ataimba na lugha yake ya asili basi kwa kiasi kikubwa atamix na english ambacho hiki ndo kinamfanya to some extent aeleweke kwa watu wengine duniani wasioelewa lugha yake ya asili...Uimbaji wa lugha ya kiswahili kitupu mwanzo mwisho hasa kama hakuna vimaneno vya upekee kama vile "ngololo,ngololo"," sankoro,sankororo" ni ngumu sn kuteka hadhira huko ulimwenguni...cha kufanya wasanii wetu for the purpose of kujitangaza zaidi duniani, then they have to code switching ktk ngoma zao.

Lugha ndo inaubeba mziki wa wenzetu to the large extent.Hichi ndo nilichokuja kukigundua..
 
Mi nashangaa watu wanavyomkandia Dai yani washasahau kama tuzo hizo hizo alishawahi kuchukua tuzo tatu kwa mpigo,na mwaka huu amekuwa nominated yeye binafsi tofauti na Kiba bila collabo Jina lake lisingekuwepo huyo Kiba na ukongwe wake wote hajawahi kupata hizo tuzo.
 
Kuna ukweli ambao hatuuangalii mara nyingi nao ni kwamba Kiswahili speakers ni wengi na ukitaka kuwapata ni lazima utumie watu walio miongoni mwao regardless ubora (namaanisha global standards). Hawa wamiliki wa media kubwa hizi ni kukamata hili soko ambalo kiukweli wanaliona kama 'virgin market' na jinsi bora ni kutumia watu waliopo.
Sasa sisi tukiona mtu amekuwa nominated MTV au CNN tunajua basi ndio amefikia kiwango cha Luck Dube, Oliver Mtukudzi, Kanye West au hata Celine Dion lakini kwa watu wanaojua muziki ukiangalia na kusikiliza kwa umakini 99% ya wasanii hapa ni underground. Sio ajabu kinachowafanya wonekane kuwa juu locally ni magari wanayoendesha, nyumba, mavazi hata 'mademu' wanaotoka nao! Tunatakiwa kufanya kazi ili kutoka na tujifunze kutoka tuzo hizi.
Mwenye masikio na asikie....ushabiki wa kishamba uachwe...
 
Tatizo hasa ni wasanii hao kuishabikia CCM kwenye kampeni mwaka jana. Watanzania wengi tuliapa kutowapigia kura tena kwenye hiyo tuzo hao wasanii wa Kibongo. Na huu ndio mwanzo tu, wataelewa tu. Hatutakagi ujinga sisi.
Hakuna cha Kiba, Diamond, Raymond, Vanessa wala Yamoto, wote ni CCM hao.
 
Back
Top Bottom