Ingekuwa hazina maana nisingetoa mfano wa hiyo Tuzo! Hoja yangu ni kwamba, ile event ilikuwa ni for award giving kwahiyo tusijifariji kwa supporting performance... in short, tumekosa tuzo ingawaje wengi naona wanajifariji kwa hilo! Hizi Live Performance zinafanywa na wanamuziki wengi tu kwahiyo there's no way kwamba Kiba anaweza kuwa nominated as Live Performance Act simply because jana ka-perform live and according to you, it's BANG! Kwani huyo Diamond ambae last year alikuwa nominated, ni wapi aliwahi ku-perform Live? Kwanza hata hiyo nomination yenyewe haifanyiki hivyo!
That's one but second, hivi kabisa unaamini Kiba ndo kaua kwenye performance na sio kwamba unaona kaua compared to Diamond? Now about "broda" thing, I meant Brother that's why I'd to apologize nilipoona ni "sis"... lots of Feminists now-a-days so I decided to better be safe than sorry!