Ajiweke nae kisanii (ki celebrity) kidogo,yani utafikiri ........Alikiba alivaa koti la suti mlegezo
Hizo tuzo mnapewa na yule promoter dmkglobal ili apate jina do go na DJ dommy kampa tena ndo maana hizi team haziwezi zikaisha hata siku moja kwa mwendo huuKwahiyo pole zoooooooooooote ziende kwa waliopo kwenye muziki zaidi ya miaka 13 na HAWAJAWAHI KUCHUKUA TUZO,ILA MADOGO WA JUZI WANAWAPIGA BAO. HARMONIZE HII INAKUWA TUZO YAKE YA PILI.
Na hapo inabidi kutegemea kizazi kipya ili kufika hyo level sio hichi cha sasa wa Nigeria wako vzuriHuu mwaka ulikuwa mgumu Sana kwa wasanii wa tanzania wote walistahili kukosa
Tanzania hakuna chipukizi wa kumshinda tecno
Hakuna msanii wa kike wakushindana na yemi
Na hakuna msanii Tanzania anayemfikia hata kwa karibu wizkidayo tulistahili kukosa tunasafari ndefu hapo na davido hakuwepo ila we deserved it
Proudly wcb ultegemea utaona uzur wa kiba..Kuna watu ni wapuuzi sijapata kuona, mtu unakuja kumlaumu Zari eti vijembe vya zari huko instagram ndio sababu ya Diamond kukosa tuzo huu ni ukichaa wa kiwango cha phd, kwani mwaka jana wakati anachukua tuzo hakuwa na zari au?
Kuna watu wanailaumu familia ya Diamond hahaha kwani siku zote hakuwa na familia?
Mnalaumu timu Diamond & Alikiba siku zote hizi timu hazikuwepo au? Mara nyodo, dharau na blah blah kibao kwani Diamond alishawahi kubadili tabia since anatoka kimuziki? Utoaji wa tuzo sifikirii kama unaathiriwa na maisha binafsi ya msanii.
Tutajifunza lini kuwa responsible na kuchukulia vitu katika uhalisia wake, instead of kutafuta justification za uongo, Ni wazi kabisa kazi za Diamond za mwaka jana huwezi kuzifananisha na za mwaka juzi, na wala si ajabu kwa Diamond kuchukua tuzo nyingi mwaka jana tofauti na mwaka huu. ( kuna kitu kimekosekana kwenye nyimbo za diamond za wakati huu) management ikae ijue wapi pana tatizo lirekebishwe. There's always next time but only if kuna vitu vitafanyiwa kazi kwenye "muziki wa Diamond" na si familia wala blah blah zingine.
Kuhusu alikiba time will tell kama tu ataendelea kufanya muziki mzuri. Mwakani atapata nominations na Awards, ila kwa sasa bado au inawezekana ni "tayari" ila tujitahidi pia kuangalia anashindanishwa na akina nani ikiwa yeye kapanya lipi la mno? Mnahangaika bure kumuoverrate eti kafanya show nzuri hebu nicheke mie, ile show yakizembe vile ndo nzuri au mi suijui uzuri, au vigezo vipi mnatumia kusema show nzuri? Timu kiba tulieni huko muacheni mwenzenu asifanye kazi kwa pressure.
Kuhusu "timu Tz" hahaha yaani hapa ndipo kichekesho kilipo, yaani nominations zote zile holaaa, wasanii watz wafanye music kwa kuangalia soko la kimataifa linataka nini la sivyo tuzo tutaendelea kuziona kwa wasouth na wanaigeria tu. Mwenye akili yeyote hakuwa na shaka kuwa kwenye tuzo za jana wanaijeria watang'aa sana.
Proudly WCB[emoji4]
Aliyekuwa anatetemeka ni Diamond au wewe ambae ulikuwa na hofu ikiwa King atapata tuzo lakini ndo vile tena; fungu la kukosa!!!Diamond kazoeya venue kubwa mbona sasa alikua anatetemeka jukwaani hadi akawa haeleweki?
Akili yako inalingana na ule utafiti 1 kati ya wa4 ni CHIZI Au na hiyo Avatar yako, basi tuseme Magufuli ni rais wa awamu ya kwanza au Tanzania hapajawahi kuwa na rais. (maana ukisema paliwahi,basi unaongea historia)We are talking about a current issue, ukitaka history nenda makumbusho
Kwani kuna siku nimewahi kufucha kwamba mimi ni shabiki wa Diamond? Au kuna siku nimepata kusema mimi ni shabiki wa Kiba? Mbona kitambo sana nishasema mara kadhaa kwamba ingawaje nasikiliza muziki wa wote lakini mimi sio shabiki wa Kiba... kwahiyo hamna cha kujitetea hapo!!!! By the way, nijitete against nini?! Mie nawahurumia nyie mnaoruka ruka eti Kiba kafanya bonge la performance!!!uko vizuri kwenye kujitetea!!timu mondii
Sitaki kukujibu unavyotaka, ila angalau soma nilichoandika kuhusu kiba sio unaruka ruka tu, nimesema hivi kiba atapata nominations & tuzo akiendelea kufanya mziki mzuri afikie viwango vinavyotakiwa, wala hakuna muujiza katika hili.Proudly wcb ultegemea utaona uzur wa kiba..
Shameon people like you..
Muziki wetu unarud nyuma kwa vkund upuuz
Zipi sio za kupewa ..........(Ole wako HUSIJIBU, nitatumia hata KY kama tundu lako ni bikra)Hizo tuzo mnapewa na yule promoter dmkglobal ili apate jina do go na DJ dommy kampa tena ndo maana hizi team haziwezi zikaisha hata siku moja kwa mwendo huu
Ulitaka niseme vipi ....??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maneno ya kujitetea
tumefeli mkubali...
Nilisoma post yako A-Z... nikaja kusoma comment ya huyo jamaa! Nikajiuliza alisoma kabla ya ku-comment au alikurupuka tu comment kwavile chini aliona WCB!!!!Sitaki kukujibu unavyotaka, ila angalau soma nilichoandika kuhusu kiba sio unaruka ruka tu, nimesema hivi kiba atapata nominations & tuzo akiendelea kufanya mziki mzuri afikie viwango vinavyotakiwa, wala hakuna muujiza katika hili.
Ndio mimi ni shabiki wa WCB nisiyeona aibu kujitaja popote nilipo, vipi una tatizo na hili?
Unaweza kunisaidia kujua mziki wetu unarudije nyuma kwasababu ya vikundi vya kipuuzi kama hivi tafadhali?
Oh dear [emoji17]Mkuu, tumekusikia, tumekuelewa.. Man fongo ana sauti nzuri kuliko mondi!
Kama hauna update kuhusu tuzo nyingine imeenda kwa nani just chill..
Bhas mkuu havirudishi nyuma muzik,nlpayuka tu.Sitaki kukujibu unavyotaka, ila angalau soma nilichoandika kuhusu kiba sio unaruka ruka tu, nimesema hivi kiba atapata nominations & tuzo akiendelea kufanya mziki mzuri afikie viwango vinavyotakiwa, wala hakuna muujiza katika hili.
Ndio mimi ni shabiki wa WCB nisiyeona aibu kujitaja popote nilipo, vipi una tatizo na hili?
Unaweza kunisaidia kujua mziki wetu unarudije nyuma kwasababu ya vikundi vya kipuuzi kama hivi tafadhali?
Wanafikiri kila mtu ni the so called "shabiki andazi" nadhani hata nilichosema kuhusu Diamond hakukisoma pia.Nilisoma post yako A-Z... nikaja kusoma comment ya huyo jamaa! Nikajiuliza alisoma kabla ya ku-comment au alikurupuka tu comment kwavile chini aliona WCB!!!!
Mwanga/mchawi utamjua tuSo mwaka huu hamna.....Picha za kulala na Tuzo....Hamna kwenda Airport..... Kuna Scorpion tu...na Mwalimu Msigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Navy Kenzo-Awards Winning~0
Diamond Platnumz -Awards Winning~0
Yamoto Band-Awards Winning~0
Ali Kiba -Awards Winning~0
Vanessa Mdee-Awards Winning~0
Kwani Mbwana Samatta hakuepo kwenye Nomination...??
Hakyanani tena, kwa akili hizi [emoji115] na mwakani hampati kitu. Sipendi ujinga ujinga wa haya matimu ila hizi tuzo za MTV na zile za AFRIMA mbona zinakinzana kwa kiasi kikubwa, ina maana watu walipiga kura afrima halafu wakazipotezea za mtv? Hayo matimu yenu yafie mbali.
hata siku moja binamu huwezi msifia kiba!..Kwani kuna siku nimewahi kufucha kwamba mimi ni shabiki wa Diamond? Au kuna siku nimepata kusema mimi ni shabiki wa Kiba? Mbona kitambo sana nishasema mara kadhaa kwamba ingawaje nasikiliza muziki wa wote lakini mimi sio shabiki wa Kiba... kwahiyo hamna cha kujitetea hapo!!!! By the way, nijitete against nini?! Mie nawahurumia nyie mnaoruka ruka eti Kiba kafanya bonge la performance!!!