Lazima umkane; si mmekosa tuzo! Kutokuwepo sio hoja kv hata nyinyi wakati mnabishana tangu ucku, mimi ndo kwanza nilikuwa nilikuwa nakula ujana! Hata kwenye hii thread yenyewe nimekuja kwa mara ya kwanza asubuhi na kukuta watu wapo kwenye sherehe... sherehe ya "mabao mwatufunga lakini chenga twawala!"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie bina...!
mie sina timu mshabiki wa kawaida tu!
ndo maana hunioni hata kwenye hizo mada za kitimutimu!
show zote mbili sijaziona wala nn
nililala zangu miee.....!!!
poleni wenye timu zenuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa binamuu!Lazima umkane; si mmekosa tuzo! Kutokuwepo sio hoja kv hata nyinyi wakati mnabishana tangu ucku, mimi ndo kwanza nilikuwa nilikuwa nakula ujana! Hata kwenye hii thread yenyewe nimekuja kwa mara ya kwanza asubuhi na kukuta watu wapo kwenye sherehe... sherehe ya "mabao mwatufunga lakini chenga twawala!"
Sasa history inakusaidia nini wewe? Utaendelea kujisifia ooooh zamani nilikua tajiri, wakati huna hata jero mfukonAkili yako inalingana na ule utafiti 1 kati ya wa4 ni CHIZI Au na hiyo Avatar yako, basi tuseme Magufuli ni rais wa awamu ya kwanza au Tanzania hapajawahi kuwa na rais. (maana ukisema paliwahi,basi unaongea historia)
Hivi alipafom wimbo gani cc sohwa,,usilalie Bahati ya mtu mlango wazi!! Aloperform vizuri anafahamika,,ni basi tuu, ukiwa die-hard fan wa mtu hata black itaiita white!!!tukubalini tuu! Sometimes shits happen u know,aliepanic kapanic alieimba vizuri kaimba vizuri!!!
Bora uliyekuwa mkweli! Na kwa upande wangu najionea Starboy WizKid mwaka huu alikuwa too tough to beat him! Yaani mpuuzi yule for the past 15 months amekamilika kila idara hadi anaboa!Tulikuwa busy na issue za waalimu wa mbeya na scorpion tukasahau kupiga kura
Wewe vipimo vya akili vinakuhusu, kwahiyo hakuna matajiri wa zamani na hadi sasa bado ni matajiri ....... Maana DIAMOND hizo tuzo ukienda WCB utazikuta, ila wewe ulivyo Zombi umetolea mfano usioendana. Kwahiyo tunasema anazo hizo tuzo na ukienda WCB utazikuta,sio kitu kilichoyeyuka.Sasa history inakusaidia nini wewe? Utaendelea kujisifia ooooh zamani nilikua tajiri, wakati huna hata jero mfukon
Bora uliyekuwa mkweli! Na kwa upande wangu najionea Starboy WizKid mwaka huu alikuwa too tough to beat him! Yaani mpuuzi yule for the past 15 months amekamilika kila idara hadi anaboa!
Hahaaaaaaa jamani mi utimu ushuzi nilishaaucha bora kabisa maana hizi timu kumponda mmoja sijui ndo wanafikiri kumtamfanya mwingine awe juu ka wizkid, bora tu wawe wanakosa na hujuma zifike mwisho na upuuzi wakuenezeana chuki.hata siku moja binamu huwezi msifia kiba!..
ww ni timu dai for better for worse![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
poleni kwa kukosa tuzo!
ni nshaacha ushabiki maandazi sasa hivi niliwapigia kura wote unfortunately wamekosa baasi
nashabikia wote sasa hivi!
poleni lakini
sio mbaya mnapata hizi tuzo mbuzii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaaa ka una hasira jinyonge mkuu acheni ushabiki maandazi na bado wazidi tu kukosa tuzo za maana labda za uchochoroni. Poleni kwa povu,Usitupigie kelele we mbwa
View attachment 422995 Diamond Platinum
hahahahaaaa,huyu naye ni kati ya wale watanzania wanaoangukia katika hii takwimu 4:1.View attachment 422995 Diamond Platinum
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] Mondi bhana...Waambie hawa wajinga wajinga humu kina matola wanaojiona ma genius!
Kiba aonyeshe yake ya miaka ya nyuma tuone kashinda nini kimataifa zaidi ya yale mabati 7 yenye kutu ya Kilimanjaro awards aliyopigiwa debe na kina wema
20% alichukua 5 so ni vizuri tukimpanga na Kiba.HAYAKUWA 7 YALIKUWA MA5, ANAYESHIKILIA REKODI HIYO YA KUCHUKUA YALE MATAKATAKA NI DIAMOND YEYE NDIO ALIYACHUKUA 7 NA HUWA HAYAHESABII KAMA ALIWAHI KUCHUKUA UCHAFU ULE.
Leo watu mapovu yanawatoka20% alichukua 5 so ni vizuri tukimpanga na Kiba.
Kwa hiyo tukusaidie nn????Nashindwa kuelewa kwanini simkubali diamond siku hizi tofauti na zamani halafu Ali kiba ananivutia kimtindo,
Wakati nilikuwa simpendi zamani.....
Cha ajabu nimekuwa nikimpenda / kumkubali.
{ AYODEJI IBRAHIM BALOGUN } a.k.a wiz kid.
Nashindwa kuelewa kwa kweli, big up kwa wote walio shiriki na kupata na waliokosa uwepo wenu pia umechangia kwa kiasi Fulani.
Diamond
Ali kiba
V.money
Yamoto band
Navy kenzo
Wanyooshe tuuuu [HASHTAG]#WCB[/HASHTAG]Wanafikiri kila mtu ni the so called "shabiki andazi" nadhani hata nilichosema kuhusu Diamond hakukisoma pia.
Btw I mic u, ndo tumechuniana au?
Haya mapovu yatakuwa ya omo kiboko ya uchafu chezeiya ushabiki andazi amira kidogo tu unavimba.Leo watu mapovu yanawatoka
Ila jua kuwa DIAMOND kakosa mtv kapata AEA 1 NA AFRIMA 1.Kwahiyo DIAMOND mtoe kwenye furaha yako kwa kudhani amekosa,ila kama vipi nuna maana kapata kwingine.Hahaaaaaaa jamani mi utimu ushuzi nilishaaucha bora kabisa maana hizi timu kumponda mmoja sijui ndo wanafikiri kumtamfanya mwingine awe juu ka wizkid, bora tu wawe wanakosa na hujuma zifike mwisho na upuuzi wakuenezeana chuki.