Lazima umkane; si mmekosa tuzo! Kutokuwepo sio hoja kv hata nyinyi wakati mnabishana tangu ucku, mimi ndo kwanza nilikuwa nilikuwa nakula ujana! Hata kwenye hii thread yenyewe nimekuja kwa mara ya kwanza asubuhi na kukuta watu wapo kwenye sherehe... sherehe ya "mabao mwatufunga lakini chenga twawala!"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie bina...!
mie sina timu mshabiki wa kawaida tu!
ndo maana hunioni hata kwenye hizo mada za kitimutimu!
show zote mbili sijaziona wala nn
nililala zangu miee.....!!!
poleni wenye timu zenuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]