Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PAMOJA MDAUNitaangalia kwenye TV SAA NNE ndo watakua live
Yani nasubiria kwa hamu sana Tanzania tupate kuanzia tuzo Tatu kwenda mbelePAMOJA MDAU
Ndio nitajua africa hatujui mwanamuziki ni yupi hivi kweli kwa sasa wizkid utamfananisha na nani kama sio chris brownWe jamaa, vipi mbona unaangaika sana ......Na kama hajachukua zote husije kubadili kauli.
Hahaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa kavaa kama kishoka wa tanesco
Nyimbo ni ya saut soulTanzania kwanza
Ila huyu alikiba akitajwa hiyo tuzo itaenda Kenya au Tanzania!!?
Hapo mtihani
Hahahahah!! Mavins sijui wamemruhusu vipi atoke namna hii, au katoroka?? Maana hata fiesta leaders club huwezi vaa hivi..Korrede bello amevaa kama fundi umeme[emoji3] [emoji3]
Kaamua kutoka kitofauti.[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaa kavaa kama kishoka wa tanesco
Wewe ni nani haswa ktk kundi la wajuzi wa muziki, hadi upuuzi wako ndio uwe sheria ....??Ndio nitajua africa hatujui mwanamuziki ni yupi hivi kweli kwa sasa wizkid utamfananisha na nani kama sio chris brown
Katokelezea kinoma nomaSuti ya king kiba oversize