MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Wanadada mwanariadha caster semenya red carpet
1477163316258.jpg
 
Kwa habar nilizopata nimesikia kuwa kuna njama za kutaka kununua tuzo ya best male, lakin waandaaji wa tuzo wamekaza, nitazidi kuwajuza wakuu.

Msanii kiba kawa habar ya mjin hapa south mpaka mashabik wengi wanalia kwa furaha
 
Natabiri Uzi huu,kuwa na kejeri nyingi saaana asubuhi.Povu litatosha kufulia shati la shule.
Mpaka sasa red Capet.
1.Yemi Slade
2.Patoranking
3.Mond Platnumz
4.Kiba
Matokeo Mond 1 Kiba 0.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hivi Nape Nnauye hayupo huko?
Maana nilisikia alitakiwa kuwasindikiza wasanii wa Tanzania kwenda South kuwania hizo tuzo.
Kwa ile style ya yake ya "Goli la mkono" tuzo zote wasanii wa kibongo tunazozishindania huko tuna uhakika wa kuzichukua.
 
Back
Top Bottom