MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

MTV Mama Awards 2016: Watanzania waambulia patupu, Nigeria na South Africa wang'ara

Tuzo za Mtv Mama mtu huwa hachukui mara mbili mfululizo! Au tuzo mbili kwa Mara moja! Ukipata moja jua nyingine hupati! So diamond anatuzo yake na sauti sol wameshachukuaq means best collabo hawawewezi chukua Msanii bora wa mwaka Atakuwa Diamond! Over!
 
Back
Top Bottom