qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Sipati picha fela na tumbo lake harudi na kitu.
Ndomo chali....lakini ame gain experience sana itamsaidia
Tumelamba tuzo ya gani?mtanzania mzungu huyu alichukua gamba la tanzania ili apate fursa kumiliki ardhi
Me nashangaa mtangazaji kasema ni uganda wakati kwenye category yule muhindi inaonyesha ni mtanzania
Weka streaming link ili wabeba box nao waweze ona.
ukumbi ulipiga kelele diamondiiii.....ila tuzo imeenda kwa Davido kama nilivyotarajiaBora diamond kachukua hiii moja jaman
Sent from my iPhone using JamiiForums.
kura hazikitosha,kwa hiyo nani kashinda best male?
Ndomo kashashindwa categories zote?
Ndomo kashashindwa categories zote?