MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

kura hazikitosha,kwa hiyo nani kashinda best male?
 
kila la heri domo though hizi tuzo siyo ktma za kubebwa na wale mawingu so tegemea kukosa na kupata.
 
Diamond hana tunzo hata moja msanii mzuri kigezo kikubwa apige show live sio mziki kwa nyuma pole platnumz jipange tena.
 
watu wanajua pamba awa mpaka wanakera

BpjZ594IEAEU1SM.jpg
 
Bora diamond kachukua hiii moja jaman


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Maana mziki ni vyombo na mmbwembwe madoido ya ngoma na filimbi so kujinyonga na msaada wa tunguli.
 
Bora diamond kachukua hiii moja jaman


Sent from my iPhone using JamiiForums.
ukumbi ulipiga kelele diamondiiii.....ila tuzo imeenda kwa Davido kama nilivyotarajia
 
Back
Top Bottom