duuh kachukua ipi tena? ila kazi ya davido imeonekana kambeba sana ndomo na hilo lipo wazi ndomo kawa juu sana ila SA sio TZ
Aliimba wimbo gani?
Ha ha binamu magazeti ya shigongo na clouds media zinaharibu watu maana wanampamba mtu kana kwamba anajiona bonge la star matokeo yake ndo hayo ukitoka nje unaonekana kanyaboya tu
Sio kweli.
Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!
from tz to lagos...
i ll make u f..........
Mungu atupe uzima kuyashuhudia haya na
Na tuliyoyaandika yawe shahidi
this is reality huwezi kukimbia ukweli hapa tunaongea ukweli tu kama unaweza tutakupongeza ukiboronga tutakuambia bila kuficha ficha diamond he was kid there under mafikizolo,davido unaweza kumuona dimond kwa jicho gani.. Nilishaweka msimamo wangu mapema but maisha yanaenda sambamba na maajabu hutakiwi kusema never hujui nn kipo mbele. Tz bado mpaka tukubali kwenda sawa ukweli watu hawatuelewi lugha tatizo...
My number one remix, yaani nikikumbuka watu walivyohangaika kupiga kura duh hataree, ila ndomo atakuwa dissapointed sana, maana yeye na hawar yake walijipanga na kujion mastaa sana, bado namkubal lupita nyongo, anazid kung'ar tu, na yeye kachukua tuzo wala hana makuu, yaani angechukua ndomo nadhan tungekoma kwa kweli
duuh kachukua ipi tena? ila kazi ya davido imeonekana kambeba sana ndomo na hilo lipo wazi ndomo kawa juu sana ila SA sio TZ
We unaeielewa lugha ya kizulu plus kixhosa wanaoimba mafikizolo?? Lugha sio ishu sana kwenye muziki,,sema hatujaupromoti mzk wetu vya kutosha na kuusapot ni kama diamond ndio kafungua njia
Hata alipofika inatosha
My number one remix, yaani nikikumbuka watu walivyohangaika kupiga kura duh hataree, ila ndomo atakuwa dissapointed sana, maana yeye na hawar yake walijipanga na kujion mastaa sana, bado namkubal lupita nyongo, anazid kung'ar tu, na yeye kachukua tuzo wala hana makuu, yaani angechukua ndomo nadhan tungekoma kwa kweli
Bado BET sasa...
ndomo ni mtz mwenzangu, ananiwakilisha kimataifa na wala hanifahamu maskini ya mungu na nilikuwa nataman achukue ila nilikuwa na hofu akichukua itakuaje? ingekuwa shida sana hapa mjini kwa upande flani bora alivyokosa!
mkuu diamond hamna chochote huwezi kumweka diamond category moja na davido na mafikizolo huo ni uchawi mkubwa!