MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Aliimba wimbo gani?

Ha ha binamu magazeti ya shigongo na clouds media zinaharibu watu maana wanampamba mtu kana kwamba anajiona bonge la star matokeo yake ndo hayo ukitoka nje unaonekana kanyaboya tu

My number one remix, yaani nikikumbuka watu walivyohangaika kupiga kura duh hataree, ila ndomo atakuwa dissapointed sana, maana yeye na hawar yake walijipanga na kujion mastaa sana, bado namkubal lupita nyongo, anazid kung'ar tu, na yeye kachukua tuzo wala hana makuu, yaani angechukua ndomo nadhan tungekoma kwa kweli
 
Hahaha weee jamaa vipi nyie na wao nani anaiga mziki wa mwingine kama sio nyie wabongo ndio mnaoiga mziki wao mkiulizwa mnasema Et mziki wa biashara wabongo bongolala!

Kuna ukweli hapa
 
bongo kuna talent tatizo ni usimamizi, muziki wa biashara msanii anawekeza sana kwenye video na branding kibao, Diamond kaanza kufanya video na Clarence peters lini? Ommy dimpoz kufanya video na Mr Moe Musa lini? ebu compare na counterparts wao wa nigeria
 
this is reality huwezi kukimbia ukweli hapa tunaongea ukweli tu kama unaweza tutakupongeza ukiboronga tutakuambia bila kuficha ficha diamond he was kid there under mafikizolo,davido unaweza kumuona dimond kwa jicho gani.. Nilishaweka msimamo wangu mapema but maisha yanaenda sambamba na maajabu hutakiwi kusema never hujui nn kipo mbele. Tz bado mpaka tukubali kwenda sawa ukweli watu hawatuelewi lugha tatizo...

We unaeielewa lugha ya kizulu plus kixhosa wanaoimba mafikizolo?? Lugha sio ishu sana kwenye muziki,,sema hatujaupromoti mzk wetu vya kutosha na kuusapot ni kama diamond ndio kafungua njia
 
My number one remix, yaani nikikumbuka watu walivyohangaika kupiga kura duh hataree, ila ndomo atakuwa dissapointed sana, maana yeye na hawar yake walijipanga na kujion mastaa sana, bado namkubal lupita nyongo, anazid kung'ar tu, na yeye kachukua tuzo wala hana makuu, yaani angechukua ndomo nadhan tungekoma kwa kweli

Siku zote namwambiaga HOD kuwa maneno yao ya shombo yanafanya wengine tuwadharau..

Kama mziki ni kazi inapaswa uiheshimu na kujiheshimu sasa zile tambo za kijinga jinga huwa hazina mana
 
We unaeielewa lugha ya kizulu plus kixhosa wanaoimba mafikizolo?? Lugha sio ishu sana kwenye muziki,,sema hatujaupromoti mzk wetu vya kutosha na kuusapot ni kama diamond ndio kafungua njia

mafikizolo kachukua tuzo gani vile davido lamba mbili ebu angalia kenya hapo kina camp mullah wanavyofanya kweli japo washapoteana lugha ni muhimu haipukiki kwenye jamii ya kimataifa languange code ni kingererza nenda uendako
 
Hata alipofika inatosha

alipofika wapi rahabu bado tuna safari ndefu sana dada yangu katika muziki wetu na kushangaza diamond alibeba kijiji kwenda nacho sa na wakati hawezi kuchukua tuzo yoyote AIBU KUBWA!
 
My number one remix, yaani nikikumbuka watu walivyohangaika kupiga kura duh hataree, ila ndomo atakuwa dissapointed sana, maana yeye na hawar yake walijipanga na kujion mastaa sana, bado namkubal lupita nyongo, anazid kung'ar tu, na yeye kachukua tuzo wala hana makuu, yaani angechukua ndomo nadhan tungekoma kwa kweli

ndomo ni mtz mwenzangu, ananiwakilisha kimataifa na wala hanifahamu maskini ya mungu na nilikuwa nataman achukue ila nilikuwa na hofu akichukua itakuaje? ingekuwa shida sana hapa mjini kwa upande flani bora alivyokosa!
 
Naam tulikuwa tunasubiri hiki kimbunga cha diamond kiishe na sasa ally kiba is coming to take over!!!
 
ndomo ni mtz mwenzangu, ananiwakilisha kimataifa na wala hanifahamu maskini ya mungu na nilikuwa nataman achukue ila nilikuwa na hofu akichukua itakuaje? ingekuwa shida sana hapa mjini kwa upande flani bora alivyokosa!

Tusingepumua aiseeh, japokuwa kajitahid sana, naona hawar yake wema kajiremba mwnyew akachukue tuzo, yamewashukaje
 
mkuu diamond hamna chochote huwezi kumweka diamond category moja na davido na mafikizolo huo ni uchawi mkubwa!

Hii kauli kuna wadau huku mtaani kwetu nimewaambia ila hawanielewi. wao wanasoma magazeti ya shigongo wakimaliza wanasikiliza clouds wakimaliza wanalala, sasa wanadhani diamond ni msanii mkubwa kuliko mafikizolo na davido.
 
Back
Top Bottom