heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ndio hivyo utujulishe kitakachojirii lazima tupende vya kwetu jamanii
Ha ha ah hiyo zawad inapita pitaj in jf?
Inapitia pm nadhani eti Honey Faith
Hv huyu dogo akichukuwa bet mtaani patakalika kweli
Bora asiishike
Hv huyu dogo akichukuwa bet mtaani patakalika kweli
Bora asiishike
Hamna msanii hapo.
Huna live streaming link?Tumpigie kura kwa wingi Diamond ili aibuke na ushindi katika MTV Music Awards itakatofanyika Kwazulu-NATAL
Bofya hapa chini:
2014 MTV Africa Music Awards Kwazulu-Natal | Vote
Nitaitafuta nikiipata nitaiweka hapa.