mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
hivi za jana alifanikiwa
Tukio ni leo kama sijakosea.Jana kulikua na nin Durban
Tukio ni leo kama sijakosea.
Leo....mida ya saa 3 zunakuwa live mtv base
Tuondoe utata jf ni kila kitu
Wakuu hivi tunzo za mtv anazoshindania diamond ni leo au ilikuwa jana?
Asante kwa taarifa
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....
Hv huyu dogo akichukuwa bet mtaani patakalika kweli
Bora asiishike
Mtv base though naona bado hawajaanza