MTV Music Awards June 6th, 2014

MTV Music Awards June 6th, 2014

Hongera diamond ....nasubiri mida ya saa tatu....nione show....Mtv base...,,
 
all the best diamond.kama ratiba inaonyesha ni kuanzia 21:00 Hrs
 
show bado haijaanza ila ni maandalizi ya mwisho mwisho ,diamond kufungua dimba on stage....

Vipi huko ishaanza? Naona tangazo la samsung na Top 5 tu kwa mtv base au hii channel haionyeshi?
 
hongera diamond kwa kupewa nafasi ya kutumbuiza
 
Back
Top Bottom