Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tumelamba tuzo ila nashangaa mtanzania aliyeshinda ni mzungu.
Tanzania tumelamba tuzo ila nashangaa mtanzania aliyeshinda ni mzungu.
vanesa mdee
![]()
Ha ha ha Mzungu wa wapi?Chalinze nini?
Me nashangaa mtangazaji kasema ni uganda wakati kwenye category yule muhindi inaonyesha ni mtanzania
Tanzania tumelamba tuzo ila nashangaa mtanzania aliyeshinda ni mzungu.
Hahahahaaa:sly: hop u mean eminado by Tiwa Savage mtupe updates wakuu mihuku nashika Sibuka Maisha tv
Tiwa Savage Best Female artist
Mafiki zolo best group
Tumelamba tuzo ya gani?mtanzania mzungu huyu alichukua gamba la tanzania ili apate fursa kumiliki ardhiTanzania tumelamba tuzo ila nashangaa mtanzania aliyeshinda ni mzungu.
Nasikia vanessa yupo kwenye mazungumzo naye kwa ajili ya collabo.
Tumelamba tuzo ya gani?mtanzania mzungu huyu alichukua gamba la tanzania ili apate fursa kumiliki ardhi
Sina uhakika na hilo babu....