John Rogath Nguzo
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 148
- 52
HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..
Hahahaha mwenzako kiba na neyo toka jana saa 6 za usiku wameanza kuingiza vocal, pop it in
Sema n mzinzi kwa kutia mimba wadada za watu n kukimbia hajambo 🙌🙌🙌🙌🙌
Daah kama uyo mzinzi 😃😃😃 nauyo mwingine utasemaje au kwakua yeye hanauwezo wa kuwatia mimba
Wanaume hawanaga tabia za kununiana iyo ilikuwa past
Sema n mzinzi kwa kutia mimba wadada za watu n kukimbia hajambo 🙌🙌🙌🙌🙌
Domo mwanaume wa kipekee, yeye ananuna na anahisi mafanikio na jitihada za kiba zote ni kwa ajili ya kumshusha yeye TU.
Domo anamfundisha zari mipasho na kuipost instagram.Kweli ukikua kwa kuzungukwa na wanawake muda wote lazima uta adapt tabia za kimama mama.
Laiti kama Domo angekua na uzazi madhubuti toka alipoanza uzinzi angekua na watoto 7, mademu zake walikua wanatoa sana mimba.Kabla hajawa na huyu mama wa kiganda.
HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..
HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha
upo umepotea kama mia tano mpyaUmeufurahisha sana moyo wangu kwa hii comment
vile vile ndo msanii pekee barani Africa ambaye bila skendo za mademu na kuandika kwenye magazeti hawezi kuwa juuy no skendo no daimondNa IPO ivi diamond ndo msanii wa kwanza kutoka Tanzania kupata nomination katika tuzo kubwa na namba moja za mziki duniani BET awards an ndo msanii wa kwanza toka Tanzania wa kwanza kuchukua MTV awards
vile vile ndo msanii pekee barani Africa ambaye bila skendo za mademu na kuandika kwenye magazeti hawezi kuwa juuy no skendo no daimond
we ndo kilaza baada ya kufukuzwa na walinzi wa neyo akasema kamfuata kiba