MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..
 
Na IPO ivi diamond ndo msanii wa kwanza kutoka Tanzania kupata nomination katika tuzo kubwa na namba moja za mziki duniani BET awards an ndo msanii wa kwanza toka Tanzania wa kwanza kuchukua MTV awards
 
Sema n mzinzi kwa kutia mimba wadada za watu n kukimbia hajambo 🙌🙌🙌🙌🙌

Daah kama uyo mzinzi 😃😃😃 nauyo mwingine utasemaje au kwakua yeye hanauwezo wa kuwatia mimba
 
Mbona kamtia mimba yule demu tatizo c kutia mimba tatizo n kutelekeza watoto
 
Wanaume hawanaga tabia za kununiana iyo ilikuwa past

Domo mwanaume wa kipekee, yeye ananuna na anahisi mafanikio na jitihada za kiba zote ni kwa ajili ya kumshusha yeye TU.
Domo anamfundisha zari mipasho na kuipost instagram.Kweli ukikua kwa kuzungukwa na wanawake muda wote lazima uta adapt tabia za kimama mama.
 
Sema n mzinzi kwa kutia mimba wadada za watu n kukimbia hajambo 🙌🙌🙌🙌🙌

Laiti kama Domo angekua na uzazi madhubuti toka alipoanza uzinzi angekua na watoto 7, mademu zake walikua wanatoa sana mimba.Kabla hajawa na huyu mama wa kiganda.
 
Domo mwanaume wa kipekee, yeye ananuna na anahisi mafanikio na jitihada za kiba zote ni kwa ajili ya kumshusha yeye TU.
Domo anamfundisha zari mipasho na kuipost instagram.Kweli ukikua kwa kuzungukwa na wanawake muda wote lazima uta adapt tabia za kimama mama.

Mr Icon hajawahi msema kibakuli ndo anamshusha zari mipasho anaijua n Ana fundishwa na Esma na queen darleen
 
Laiti kama Domo angekua na uzazi madhubuti toka alipoanza uzinzi angekua na watoto 7, mademu zake walikua wanatoa sana mimba.Kabla hajawa na huyu mama wa kiganda.

Kibakuli c anatembeaga n mademu wa mtaani wao kuzaa na msanii wanaona deal
 
HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..

Kuwa wakwanza ilimsaidia nini?
 
HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..

Iwe ya Coca-Cola, pepsi, fursana au Azam cola!😂😂😂😂😂😂😂😂 umefanikiwa kunichekesha leo!
 
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha

Umeufurahisha sana moyo wangu kwa hii comment
 
Na IPO ivi diamond ndo msanii wa kwanza kutoka Tanzania kupata nomination katika tuzo kubwa na namba moja za mziki duniani BET awards an ndo msanii wa kwanza toka Tanzania wa kwanza kuchukua MTV awards
vile vile ndo msanii pekee barani Africa ambaye bila skendo za mademu na kuandika kwenye magazeti hawezi kuwa juuy no skendo no daimond
 
kwan skendo ndo zinaimba mbona nuh mziwanda ana skendo ila hajatoboa kimataifa
 
Yaani waTz sijui ni nini. Neyo mwenyewe kwenye Instagram yake kaandika he is in Kenya to record mashup with 5 artists from Kenya, Uganda, Tanzania and Nigeria. Sasa ni nini waTanzania wanapiga vigelegele kama vile Neyo is in Kenya to record a collabo na Ali Kiba peke yake? Tunajiaibisha especially nyie akina Shardcole and pwilo

Screenshot_2015-08-19-10-55-21-1.png
 
Last edited by a moderator:
So Neyo posted this on his Instagram and akina pwilo na Shardcole plus crew nzima ya team Kiba sijui hawakuelewa kiingereza? The guy is there for Coke Studio acheni ulimbukeni mnatuaibisha mnavyo comment kwenye page ya Neyo mkimdiss Diamond. Neyo met Diamond last month in South Africa for MTV, he even mentioned Diamond in his TV interview as the artist he was looking forward to meet. Ni vitu vya kawaida mno, embu tulieni. Salaam ameenda huko Coke Studio hatujui ameenda kuongea nini na Neyo ukizingatia walishakutana South Africa last month.
Nyie akina pwilo na Shardcole ndio mnamuharibia Kiba fan base yake kwa kupost ujinga na kumtafutia beef na fans wa Diamond. Grow up kids!!

Screenshot_2015-08-19-11-06-19.png
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom